Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

tupe summary ya madini mawili matatu uliyookota kutoka kwenye kitabu icho.
Lessons nyingi na uzuri kina mifano ya biashara aina mbalimbali hivyo unajifunza kwa kuangalia lessons in action.

So big lessons ni

- Huitaji ofisi wala big presence ili kuanza biashara bali inabidi utafute tatizo unaloweza kutatua kwa watu wengi na WATU WAKUAMINI kuwa unaweza kulitatua

- Kama huna mtaji kabisa anza biashara ya huduma ambayo inahitaji skill zako au ujuzi wako ili ukusanye capital. Mfano ufundi ama accountancy ana ususi na kadhalika

- Kipato chako kinavyoongezeka punguza kazi ambazo za kujirudia au usizopenda. Mfano kuosha vifaa vyako vya kazi ama kupokea wateja. Hii itakuwezesha kukua kwa kasi zaidi kwa kuwa una muda zaidi

- Tambua soko lako vizuri. Ingia kwa undani umchambue mteja wako. Ni jinsia gani, anafanya kazi gani, ana umri gani na kadhalika. Ukimtambua vizuri unaweza kuandika maneno ya kumuuzia. (Hii ndio the biggest thing nimeona impact yake. Mfano tu jana na leo nimeingiza 100,000 kwa message ambazo niliandika 3 years ago baada ya kumchambua mteja)

- Jifunze kuuza. Ndio skill moja ambayo itahakikisha haulali njaa. Kuna mbinu nyingi zinaongelewa vema usome kitabu.
 
Mtazamo wa kimaskini
 
Kama hutojali kiweke hapa.
 
Complete crav maga😂
Nimesoma vitabu vingi mno.
But haven't and I don't read novels!!
 
Complete crav maga😂
Nimesoma vitabu vingi mno.
But haven't and I don't read novels!!
Kwanini haupendi/hausomi novels?
Well, mimi nasoma kila kitu, any genre, any author . I honestly read anything.
 
"I’M ALONE. I don’t have much food. The temperature is dropping. No one is coming for me. It will be winter soon, and there are so many ways to die out here. If the cold doesn’t get me, the hunger will. If the hunger doesn’t get me, the cold will. Or some wild animal. Or those men will come back .

. . But I’m not dead yet, and someone should know. Someone should know what happened. So I’m writing it down, as best I can. In pieces, because that’s the way it is in my head, all tangled up. There are two beginnings to this story. One of them is on a tarmac in Alaska. The other’s standing on a lakeshore with the rain falling on me like mist, the cabin’s timbers smoldering, sullen and red. I’ll tell you both stories, what happened before my father died and what happened after. And when I’m done or when I’m too weak to write anymore, I’ll leave this notebook where the cabin was. If someone comes looking for us, for me, maybe they’ll find it. So if you’re reading this, I’m probably dead. But for a while, I survived.
My name is Jess Cooper, and I am still alive."

Huo ni utangulizi wa Novel ya I am Still Alive by Kate Alice Marshall.
Kwa anayetaka kusoma hii hapa ,
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…