Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Asante LadyRed.
 
Lakini kuna kaukweli. lol
"I don't want to die now!" he yelled."I've still got a headache! I don't want to go to heaven with a headache, I'd be all cross and wouldn't enjoy it!".

"The argument goes something like this " I refuse to prove that I exist' Says God, "for proof denies faith, and without faith I am nothing"
 
nyie wezangu mmewezaje au mmesoma dady dady school kwenu nitu hivi kawaida sana
Uzuri maneno yanajirudia, kaa na kamusi ya English to English Ukishaelewa maneno zaidi ya matano hamna tabu tena.
 
Asante sana. Kinasema ni sababu gani hizo mtu anauza kahawa buguruni na mwingine airport? nimetamani kujua wa buruguni anakwama wapi?
 
Ongezea hapo na kupunguza muda wa kushinda online.
Asante sana kwa Ushauri.
 
Thank you Khan na nitajaribu Meditations.
 
Kwani ni kitu gani mwanaume anaweza kufanya mwanamke hawezi ? Tuanzie hapa.
Kwanini umeuliza kuhusu kuweza na si kuhusu mipaka ?

Asili na silika ndio inaamua nani afanye hiki na nani asifanye hiki. Ama kuweza najua mnaweza ila si kama maumbile yanavyotaka. Bila shaka nimekujibu swali lako.
 
I like the book, taught me that Women can do anything that men can do, and that men CAN'T[emoji13]
Hii ndio ilikuwa Quote yangu.
Kwamba kupitia hicho kitabu nimegundua kwamba mwanamke anaweza kufanya kila kitu mwanaume anachoweza kufanya.
Kwanini umeuliza kuhusu kuweza na si kuhusu mipaka ?

Asili na silika ndio inaamua nani afanye hiki na nani asifanye hiki. Ama kuweza najua mnaweza ila si kama maumbile yanavyotaka. Bila shaka nimekujibu swali lako.
 
Seven habits of highly effective people
How to win friends and influence people
48 laws of power
The mastery
The art of Seduction
Ben Carson (4)



Vingine nimesahahu. Ndo naanza kusoma vitabu kwahyo najifunza pia how to memorize
 
Asante sana. Kinasema ni sababu gani hizo mtu anauza kahawa buguruni na mwingine airport? nimetamani kujua wa buruguni anakwama wapi?
Hiyo nayo pia setting ni USA. Mojawapo ni kuelezea umuhimu wa location katika biashara. Kwanini mtu afungue mgahawa airport alipe kodi ya mamilioni kwa mwezi wakati mwenzake yuko Buguruni analipa laki na bidhaa yenyewe ni kahawa ileile. Hiki kitu nimeshuhudia kwenye malls ukienda cheki cinema,popcorn unanunua buku elfu 3 zilezile unazonunua elfu moja pale Mbagara rangi tatu. LocatioLocation,target
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…