Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Ni must read. Ni kitabu cha watu wazima kilichoandikwa kwa mtindo wa kitoto. Biblia ndiyo kitabu kilichotafsiriwa zaidi duniani. Cha pili ni hiki.
Wakati natafuta hiki kitabu niliona wanasema ni "it's a children's book".

Ila wakati nasoma nikawa nawaza kinakuwaje cha watoto huku nikiona ni kigumu kwa watoto kuelewa.

Okay, nilikisoma. Was a short read and it worth reading. Thank you.
 
Vya zamani sana hivi. Kuna Swahili Tales as told by native of Zanzibari na Swahili tales as told by Arabs.
 
Wakati natafuta hiki kitabu niliona wanasema ni "it's a children's book".

Ila wakati nasoma nikawa nawaza kinakuwaje cha watoto huku nikiona ni kigumu kwa watoto kuelewa.

Okay, nilikisoma. Was a short read and it worth reading. Thank you.
Hongera sana. Kwa kweli si cha watoto. Tuliandaa na fasiri yake ya kiswahili.
 
Hae, You're welcome @vitabudhahabu

Our packages[emoji116]

1. Marriage
2. Children care
3. Love stories /novels
4. Gardening
5. Engineering
6. Medicine/ herbal medicine
7. Financial & Commerce
8. Inspirational books/ stories
9. Marketing books

[emoji117] 0787728422
 
Msaada please mwenye softcopy ya hiki kitabu nimekutafuta sana bila mafanikio. Thanks in advance
 
Wakuu,natafuta Sophie's world,shall we tell the president na vitabu vingine mnavokumbuka alivitaja Kanumba kwenye Movie yake ya Moses
 
I'm reading it tonight, i hope we will discuss further this book, right here, thanks for sharing your thoughts
I read this in early 2000s, such a depressing book. The author tells his misfortunes in a light funny way but gosh, this book is sad. I have also read his other book ‘Tis
 
naomba hiko kitabu cha mark manson
 
Hey guys mwenye kitabu cha the secret soft copy naomba
 
Nisemae tu series The Remambrance of Earth's past(The three body problem) si ya kukosa kusoma kama unapenda scifi. Nimemaliza kitabu cha pili(The Dark Forest). Kitabu cha kwanza na cha pili vimepata Hugo awards huku cha mwisho kikifika fainali. Vitabu vizuri sana.
 
My favorite books;
Bible
Pathologic basis of disease
Cell biology
Molecular biology
Applied biochemistry
Applied epidemiology and biostatistics
Try reading books which speculates other things apart from your field, try life style books, even the so called motivational ones, novels and so far.... So many secrets are hidden in there my friend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…