SHEIKH ISSAH OTHMAN ISSA AZINDUA KITABU ALICHOTAFSIRI KILICHOANDIKWA MWANZO KTK KIARABU NA IMAM Al-NAWAWI : HADITHI 40
View: https://m.youtube.com/watch?v=4gBtlbM_3vQ
Jaji mkuu professor Ibrahim Juma
atia neno umuhimu wa kitabu hicho ambacho mtanzania Sheikh Issah Othman Issa amekitafsiri kutoka lugha ya Kiarabu kilichoandikwa na Imam Al-nawawi 40 hadith karne 7 zilizopita , huku maudhi yake yakisimama hadi leo dunia tuliyopo hivyo na Sheikh Issa sasa kufanya tafsiri katika lugha ya Kiswahili ill watanzania waweze kukisoma.
Sheikh Issa asisitiza kusoma kitabu huongeza umakini kuliko kusikiliza audio maana teknolojia huiba umakini. Mufti wa Tanzania na sheikh Suleiman Kilemie walimtia nguvu mwandishi mtafsiri ili kukileta kwa waislamu ambao wengi lugha ya kiarabu ni mtihani mkubwa na hivyo tafsiri hii kwa kiswahili itawafaidisha wengi ikiwemo pia na wasio waislamu.
THE 40 HADITH OF IMAM NAWAWI The Forty Hadiths of Imam al-Nawawi is a compilation of Hadiths that have been valued and studied continually for the last seven centuries. They comprise of the essential hadiths that cover most aspects of Islam.This video series to be released on YouTube each Thursday presents itself as a rare opportunity for us to gain knowledge from one of the greatest scholars of our time. Shaykh Muhammad Al-Yaqoubi’s students travel thousands of miles to study under him; now we are blessed to have the opportunity to learn from him in the comfort of our homes.