Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Thanks... I'll have to read these books
 
Kwenye 1.0-9.0 kinachotakiwa ili mambo yaende ni 6.0+
Mambo yalienda vizuri mangiii😅
Hahaha ila kunatofauti kubwa hata kama yalienda bwashee , kwa watasha ni kwa watasha tu meku😅
 
Hahaha ila kunatofauti kubwa hata kama yalienda bwashee , kwa watasha ni kwa watasha tu meku😅
Tofauti ipo tena kubwa tu, ila ili uende kwa watasha si inabidi ufaulu mitihani yao, kuongea proficiently hatuwezi!!
 
Yeah karibu sana master , mimi nakaribia kuvimaliza vyote humu , una vya riwaya za kiswahili?
Ooh Safiii sana. Hongera kwa kuufahamu huu uzi mapema, mimi ndiyo naufahamu leo..... Hapana ndugu yangu, hivyo sina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…