Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

1. Who moved my cheese? My favourite.
2. The white Maasai. 2nd Fav.
3. What everybody is saying- Joe Navarro (Helps me a lot in daily interactions). (I even prevented 2 possible accidents following knowledge I got from this book).
4. How to win friends and influence people- Changed my life.
5. The richest man in Babylon - taught me how to to save the little I get.
6. Many others
 
Good hauna pdf hata moja apo mkuu
 
Nilimanisha wanachukua kila kitu kama kilivyo na kuamini iwamba kwa kusoma kile kitabu ndio wameshayapatia maisha na kusahau kwamba kuna vitabu vingine ambavyo wanatakiwa wasome ili kupata vitu bora zaidi.

Concepts alizoziandika kwenye Rich dad poor dad, kuna vitabu Vingi tuu ukivisoma vinapingana na hizo baadhi ya kuncept na vina point kiasi kwamba ukisoma unaelewa kabisa kwanini kuna umuhimu wa kusoma vitabu vingi.

Wengi wetu tuna tabia, kwa kuwa mtu kafanikiwa hivo akiandika kitabu kila alichokiandika kule tunakiamini kwa sababu yeye ndio tajiri na njia alizoziandika ndio kazipitia hadi akafanikiwa hivyo ngoja na sisi tuziige tupite nazo. Tukiziiga hatuoni dalili hata kwa mbali ya kwamba tunakaribia kuwa matajiri kwa sababu matajiri wengi wamekuwa matajiri kwa "janja janja" na njia ambao hazitamaniki. Lakini wakiulizwa ilikuwaje? Wanatengeneza story flan amazing.

Kitabu cha Rich dad poor dad, kwa mtazamo wangu ni kizuri ila kimekaa kutoa "faraja" zaidi kuliko kutoa "ushauri". Na watu wengi ambao ndio wanapigana na maisha wanakipendaje tofauti na The Richest Man in Babylon ambacho kwangu Mimi naona ndio kina njia zote za msingi za mtu kufanikiwa hatoi faraja ni mwendo wa " kazi kazi".

Sijui kama nitakuwa nimekujibu, sipo vizuri kwenye uchambuzi ila, nilichokuwa namaanisha ukisoma kitabu, usibebe kila kitu kama kilivyo. Tafuta vitabu vingine uone navyo vinasemaje mwisho wa siku ukijumlisha concept za wote unakuja na concept moja zuri ambayo ni nzuri zaidi.
 
Good!
Hii What Everybody Is Saying kinahusu nini?
 

Hapo kama haujaeleweka basi tena. The Richest Man in Babylon kwa mtazamo wangu kinatekelezeka na kinakueleza wajibu ulionao, usipoufuata ushauri na muongozo wake sahau kujifunza tabia za kutunza na kuilea pesa ikue zaidi na kuzaa zingine.

Nakubaluana na wewe kusoma vitabu tofautitofauti kuhusu jambo moja kunapanua wigo wa uelewa wa jambo.
Hakuna kitabu kimoja kinachojitosheleza kwa kila kitu na kwa kila mtu, mahitaji yanatofautiana.
 
Money can't buy me love; thus the best gift that i can offer my woman beside sex is, my attention,time and love. japo ni ngumu sana kwa wanawake wa sasa
 
OMG nilikuwa nawaza vipi kama sijaeleweka. Asante The Monk.
Na ni kitabu kifupi tuu, lakini kina mambo mazuri sana. Watu hawakipendi kwa sababu hakibembelezi sana na lugha yake pia ni ngumu kidogo.
Ila ni the best.
 
Money can't buy me love; thus the best gift that i can offer my woman beside sex is, my attention,time and love. japo ni ngumu sana kwa wanawake wa sasa
Sio jambo gumu, wanawake wote tunapenda attention, time and love kuliko hata hela.
Bravo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…