Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
-
- #801
Asante City Owl.What everybody is saying kinahusu Body language! So humo ndani author kaeleza mambo mbalimbali na maana zake. Mfano posture za miguu na mikono, facial expressions, kijasho chembamba, direction ya macho pindi mtu anapofafanua jambo. n.k. ni kizuri sana ukikielewa.
Paula, sioni tofauti kabisa ya The richest man in babylon na Rich dad poor dad, hata Kiyosaki amekirecommend mara nyingi tu kwenye rich dad series zake, anasema kabisa..Nilimanisha wanachukua kila kitu kama kilivyo na kuamini iwamba kwa kusoma kile kitabu ndio wameshayapatia maisha na kusahau kwamba kuna vitabu vingine ambavyo wanatakiwa wasome ili kupata vitu bora zaidi.
Concepts alizoziandika kwenye Rich dad poor dad, kuna vitabu Vingi tuu ukivisoma vinapingana na hizo baadhi ya kuncept na vina point kiasi kwamba ukisoma unaelewa kabisa kwanini kuna umuhimu wa kusoma vitabu vingi.
Wengi wetu tuna tabia, kwa kuwa mtu kafanikiwa hivo akiandika kitabu kila alichokiandika kule tunakiamini kwa sababu yeye ndio tajiri na njia alizoziandika ndio kazipitia hadi akafanikiwa hivyo ngoja na sisi tuziige tupite nazo. Tukiziiga hatuoni dalili hata kwa mbali ya kwamba tunakaribia kuwa matajiri kwa sababu matajiri wengi wamekuwa matajiri kwa "janja janja" na njia ambao hazitamaniki. Lakini wakiulizwa ilikuwaje? Wanatengeneza story flan amazing.
Kitabu cha Rich dad poor dad, kwa mtazamo wangu ni kizuri ila kimekaa kutoa "faraja" zaidi kuliko kutoa "ushauri". Na watu wengi ambao ndio wanapigana na maisha wanakipendaje tofauti na The Richest Man in Babylon ambacho kwangu Mimi naona ndio kina njia zote za msingi za mtu kufanikiwa hatoi faraja ni mwendo wa " kazi kazi".
Sijui kama nitakuwa nimekujibu, sipo vizuri kwenye uchambuzi ila, nilichokuwa namaanisha ukisoma kitabu, usibebe kila kitu kama kilivyo. Tafuta vitabu vingine uone navyo vinasemaje mwisho wa siku ukijumlisha concept za wote unakuja na concept moja zuri ambayo ni nzuri zaidi.
vipoje hivyo vitabu?Sawa Nowonmai.
Unapenda vitabu vya Romance pia?
1.kama ulisoma my last quote niliyokuquote niliongelea suala la nyumba ( kumiliki nyumba) . una kumbuka?Paula, sioni tofauti kabisa ya The richest man in babylon na Rich dad poor dad, hata Kiyosaki amekirecommend mara nyingi tu kwenye rich dad series zake, anasema kabisa..
If you want to learn the basic principles about money, read The richest man....
To cut a long story short, ni vitu gani ni faraja tu kwenye rich dad, ambavyo unaona havifai kuigwa au kutekelezwa ili mtu afanikiwe?
Ni vitabu ambavyo vimejikita kwenye relationship, mapenzi mapenzi hivi wanasema "story za malovee".vipoje hivyo vitabu?
Ok, Paula, sasa tunaenda vizuri..1.kama ulisoma my last quote niliyokuquote niliongelea suala la nyumba ( kumiliki nyumba) . una kumbuka?
Ni kweli nyumba unaweza isiwe investment na literally alikuwa anasema ni bora kupanga na kuwekeza kwenye real estate (RE).
Tuje kwenye uhalisia nikutolee mfano wewe, kama una familia yako mke na watoto. Maana yake ukisema usijenge ili kupanga nyumba nzuri itakuhitaji kulipa kodi ya shilingi ngapi kwa mwezi? Kwa mwaka jee? Haitoshi kununua au kujenga nyumba?
Okay alisema kwamba kumiliki nyumba ni expenses , itahitaji ulipe maintainance cost. Lakini kwani gharama ya maintainance ni shilingi ngapi na inafanyika Mara ngapi baada ya miaka mingapi?
Expences kama bills za maji , umeme hizo hazikwepeki kwa sababu hata uki rent a house lazima ulipe.
Nilikwambia kilichotokea kwa watu ambao walikuwa wanachota kila kitu ambacho kiyosaki anasema, bila kuchuja na kujua sio vyote vina work kwa kila mtu na kwa maisha ya kitanzania au ya kiafrika, Leo wamefilisika kwenye miradi waliokuwa wamewekeza, na nyumba za kuishi hawana zaidi sana wameishia kurudi vijijini baada ya kushindwa kumudu hata kodi.
Kwangu Mimi naona kumiliki nyumba unasave cost nyingi sana tofauti na ukipanga nyumba. Na ninaweza kumshairi Mtu kwa proper utilization za hela ni bora ajenge nyumba, halafu aanze kusave excess money ambazo angekuwa anapigwa kwenye hizo za kupanga.
2.Issue ya Elimu. Huwa anaishusha hadhi sana elimu na kufanya vijana wengi wasitamani kusoma. Ana msemo mmoja kwamba wenye C wamewaajiri wenye A. Yaani kwa maana nyingine ni kwamba wasomi wameajiriwa na ambao hawajasoma. Kwahiyo kwa kifupi haoni umuhimu wa shule. Na vijana siku hizi wameshikilia huo msemo sana tena baada ya kushindwa kufanya vizuri shuleni.
Lakini wanashindwa kujiuliza bila shule wangeweza kweli kusoma hata this rich dad and poor dad? Bila shule wa naweza kuelewa concept zote alizoziandika kwenye kitabu? Proper management ya fedha inahitaji pia elimu. Well na kama kweli shule haina maana kwanini huyo aliyefeli inabidi amwajiri msomi ili afanikishe mipango yake?.
NDIO MAANA NIKASEMA KIMEKAA KUTOA FARAJA BADALA YA NJIA SAHIHI.
NB, kumbuka haya ni mawazo yangu yanaweza kuwa sahihi au sio sahihi.
Thank you for this Mjuni.Ok, Paula, sasa tunaenda vizuri..
Moja ya vitu vilivyosababisha kitabu chake kikataliwe hadi akichapishe mwenyewe ni hoja tatu,
1)Saving money is foolish.
2)Dont work for money na ya tatu ni uliyosema
3)Your house is not an asset, tuijadili',
Nafikiri unakubaliana na definition yake ya asset na liability, na unakubali pia kwamba ili utajirike unatakiwa kununua asset badala ya liability...
Kwamba, badala ya kununua nyumba uishi wewe, nunua nyumba upangishe, hesabu inatakiwa kuwa kwamba, gharama utakayokuwa unatumia ulikopanga iwe ndogo kuliko pesa unayoingiza ulikopangisha, ina maana utapokea rent ambayo itacover pango lako na kubakisha, hiyo unayobakisha ndio profit..
Sijui kama ninaeleweka, inambna hiyo nyumba ungeishi mwenyewe, usingeingiza kitu na ungeilipia kodi na maintainance, tayari ingekuwa liability, ingekuwa ni expenditure, badala ya income.
Mtu mwenye nyumba ya kupangisha anafilisikaje ili hali inamwingia pesa kila mwezi?
Mimi nadhani mwenye nyumba ya kuishi ndio anafilisika maana haiingizi na inamgharimu pesa..
Kwa mfano, watu hawa wawili wakipoteza kazi, mmoja ana nyumba ya kupangisha mwingine hana, nani atasurvive?
Tofauti iliyopo kati ya asset na liability, When you lose your job an asset will feed you, but a liability will eat you!
Suala la elimu Kiyosaki halipingi, lakini anasema elimu ya darasani(formal education)ina mapungufu, inatoa
1)Academic education
2)Professional education
Lakini haitoi
3)Financial education.
Ninadhani yuko sahihi, wewe unaonaje Paula?
Nimemwelewa sana alipose sisi wanaume we are sexual by nature and you are emotional by nature. She says a woman is a woman. You are different but inside you operate the same.Ametuambia "flip the switch in your female brain, so you can beat men at their own game" ili tu "become the type of woman that commands respect from men".
Kuna hicho Why Men Love Bitches itabidi nikipata muda nikisome na mimi nijue mbinu zenu.
Hapa sina comment yawezekana ni kweli u mdogo. Ila nadhani sio kivile[emoji23][emoji23]Alikuwa ananidanganya anadhani mimi mdogo [emoji4]
Hapa sasa ndio uzi unanoga this is what need kwenye huu uziPaula, sioni tofauti kabisa ya The richest man in babylon na Rich dad poor dad, hata Kiyosaki amekirecommend mara nyingi tu kwenye rich dad series zake, anasema kabisa..
If you want to learn the basic principles about money, read The richest man....
To cut a long story short, ni vitu gani ni faraja tu kwenye rich dad, ambavyo unaona havifai kuigwa au kutekelezwa ili mtu afanikiwe?
Wow, hadi wewe[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Kila la heri. You have my respect.Asante City Owl.
Nakiweka kwenye wishlist zangu
Tayari nimesha kisoma na nadhani nimevuna kitu na kuishia hapo niliposoma. Nimetoka na vitu kadha hapa.Ni kitabu kizuri sana boss. Kitafute.
Sawa Nowonmai.
Unapenda vitabu vya Romance pia?
Ili tuende vizuri inabidi tujadili jambo moja kabla ya jingine,Thank you for this Mjuni.
Umeelezea vizuri sana na vingine nilishavisahau kanisa na kwa maelezo yako nimepata mwanga kabisa.
Nakubaliana na definition ya Asset and liability.
Ukilinganisha kujenga nyumba au kununua nyumba na kuipangisha na wewe ukapange kwa gharama zilizo chini na mapato unayoyapata kwenye nyumba uliyopangishia watu hapo ni kweli nakubaliana nayo, na asante sana kwa kuielezea kwa ufasaha. Japo ndio pia inategemea umejenga nyumba ya ukubwa gani na gharama gani.
Kumbuka tukiongelea Maisha Halisi naongelea Maisha ya Mtanzania.
Mfano maisha ya Mtanzania , mtu ambaye sio tajiri ndio anajipiga piga ili atoke kimaisha..(mchicha ulianza kama mbuyu). Unadhani hii concept itakuwa applicable kwake? Kumbuka hata kama anauwezo wa kujenga mfumo wa nyumba za kupanga, anaweza akaanza na vyumba kadhaa.. Au 'self' ndogo tuu ya wastani. Ambao itakuwa ni ngumu yeye kupata nyumba ambayo ambayo atakaa na familia yake kwa gharama chini ya ile labda ajibane sana. (Naomba neno lako hapa).
Kuna kitu najaribu kukisema hapa ila napata tabu kidogo.
Speaking kuhusu wanaofilisika wanarudi kijijini, umeniambia MTU mwenye nyumba inayomwingizia kodi kila mwezi anafilisikaje.
Ipo hivi, RE kibongo bongo ni bado ni shughuli hususani kwa watu ndio bado ni wachanga, lazima atapambana awekeze kwenye mabiashara mengine ili sasa zikiwa nyingi anunue nyumba kwa ajili ya RE. (NAKUONA UTANIAMBIA ACHUKUE MKOPO)😊Tofauti na mtu anayetaka nyumba ya kuishi hana haja ya kusubiria hela ataanza kujenga hata chumba kimoja kimoja ahamie hata kabla haijaisha ili kukwepa gharama nyingine.
Pia kumbuka mapokeo ya hiki kitabu ni tofauti ndio maana nilikuambia watu walikuwa fooled. Hawakuwekeza Kwenye RE waliwekeza kwenye biashara nyingine ambazo zikitia hasara zimetia.
Mjuni nimependaje? Umenipa hamasa ya kutamani kurudia hiki kitabu maana nilikisoma kitambo kidogo.
Kuhusu elimu ya darasani haitoi financial education sidhani kama ni kweli. Au labda mimi sielewi financial education kivipi na wakati siku hizi kuna course kama Entrepreneur and small business, kuna financial management, kuna risk management, kuna business adminstration and management.
Huko madarasani kuna kusoma vitabu vya Pandey ya Financial management. Ambayo yote anayoyazungumzia yapo kwenye hivi vitabu na darasani pia kwa watu walio opt course za Biashara na Uchumi.
Naomba mwanga kidogo hapa Mjuni.
Conventionally, wengi wanajua hivyo, na wengine hadi madalali tu wanasema ni real estate bussness, real estate inarange hadi kwenye mashamba na viwanja, na kama una nunua ili kuuza wewe ni mlanguzi, you are not investing!Paula Paul na Mjuni Lwambo
Kuna kitu sielewi mnavyoiongelea Real estate business.
Real estate ni biashara ya kununua na kuuza nyumba na sio kujenga nyumba na kuipangisha kwa ninavyojua.
Naombeni somo.
Kama una hichi kitabu kwenye maktaba yako naomba ukiweke hapa mkuu.