Hahahaahaaa!
wanataka kuwa Kalumekenge au sio?
Kabla sijasahau, umesema asilimia kubwa ya waliopitia shule wana vipato vikubwa na wengi wanalipwa mishahara mikubwa, hapa ndio tatizo lilipo:
Wanalipwa mishahara mikubwa na kipato kikubwa lakini bado wana struggle financially, why? Ndio ubovu wa hiyo formal education.
Mtu kafanya kazi muda mrefu lakini akitumbuliwa anataka kujinyonga, why? Ndio ubovu wa formal education.
Mtu kafanya kazi hadi umri wa kustaafu umefika lakini anaomba kuendelea kufanya kazi, why? Ndio ubovu wa formal education.
Mtu kafanya kazi hadi kastaafu, lakini ana maisha magumu na pensheni yake wanamzungusha tu, why?
Kama wewe unapenda kuwa muajiriwa maisha yako yote hadi uzeeni unaamka asubuhi kwenda kazini, formal education inakufaa,
Kama ni vinginevyo, ongezea na mengine nje ya syllabus.
Kalumekenge ni nini Nowonmai?
Hapa Mjuni ndio aelezee vizuri kwa sababu mimi ni naamini kama wewe. Kwamba elimu ni kila kitu.
Unaweza kuwa na hela pia ukahitaji ma expert wakufanyie kazi zako na watakwambia kaa kimya Mimi ndio nina ujuzi na hili.
Lakini hili pia " this Kiyosaki " anaona pia ni sawa na kutishia kwamba waliofeli shule ndio wanaajiri waliofaulu.
Yupo mtu mmoja humu kama sijakosea anaitwa "Khan " alisema huyu Robert Kiyosaki anaweza kukufanya ukaidharau degree yako.
Na ndivo vijana wanavofanya, wa natamani ada waliolipia shule wangepewa wafungue biashara.
Lakini jee, Kiyosaki hajasoma ?
Reginald Mengi haja soma?
Bilget haja soma?
Hiki The wind of winter si bado kutoka? Mwandishi anasema jumla vitakuwa 7.Movies zinakuwaga kama spoiler hivi. Ukiangalia movie au series kitabu kinakosa ladha pia unaanza kuimagine characters kama wa kwenye movies. Kusoma kisha kuangalia ni afadhali, maana movie ni kama summary tu. Kwenye series ya Game of thrones kuna mambo yameenda mbele zaidi ya A dance with dragons kiliishia. Sasa hiki cha sita kitaandika mambo yaliyokwishaonekana kwenye series au kitaenda njia tofauti? Hii ndoa ya vitabu na movies/series sometimes inazingua,Viko sita mkuu. A Game of Thrones, A Clash of Kings, A Feast for Crows( 2 parts), A Dance With Dragons na The Wind of Winter. Ukisoma kabla ya kuangalia nadhani inapendeza zaidi sema producers walistukia hii kitu.Maybe walimbana huyu author hivyo utokaji wa hivi vitabu ukawa mgumu kidogo mpaka series zimeisha.
Ni fantasy nzuri yenye ubunifu mkubwa with unlimited imagination unazoweza kuzioanisha na ulimwengu wa leo especially when it comes to political and economic powers.
Vizuri sana mkuu ingawa mimi quantum physics sio fani yangu ila najitahidi kuisoma vilivyo... Mkuu wangu
Am Neuroscience expert chief
Upo sahihi kabisa.Hivi vitabu vingi huwa vinaandikwa kwa kuangalia mazingira ya ughaibuni, ukivisoma mazingira ya Tanzania ni muhimu kukumbuka hilo.
Za kuambiwa changanya na zako.
Ama sivyo utaambiwa wekeza kwenye stock market wakati Tanzania hakunanstock market ya maana.
Title tuu inanichekesha.Hii ipo kwenye How To Get A Woman To Pay You?
Hapo kwenye kupika unatakiwa upate vitabu vilivyo kwenye category ya 'Food and cookbooks'. Ambapo hapa vipo vingi,ukigoogle utaviona na utajichagulia tuu kitakachokuvutia.Jamani Mimi napenda kupika na kufanya biashara ndogondogo! Ni vitabu gani ambavyo naweza kusoma vikanisaidia.
Kingine...nna hasira za karibu saanaaaa! Naombeni jina au hata link ya kitabu kitakachonisaidia nisiwe na hasira! Ahsanteni
Asante Nowonmai. Mimi nimeangalia, ila nitasoma pia kwa sababu kuna mambo kwenye kusoma yameelezewa vizuri. Nilisikia wanasema.Viko sita mkuu. A Game of Thrones, A Clash of Kings, A Feast for Crows( 2 parts), A Dance With Dragons na The Wind of Winter. Ukisoma kabla ya kuangalia nadhani inapendeza zaidi sema producers walistukia hii kitu.Maybe walimbana huyu author hivyo utokaji wa hivi vitabu ukawa mgumu kidogo mpaka series zimeisha.
Ni fantasy nzuri yenye ubunifu mkubwa with unlimited imagination unazoweza kuzioanisha na ulimwengu wa leo especially when it comes to political and economic powers.
Nowonmai ,You are something else, you know that?😊😊.Kalumekenge ni mtoto aliyekataa kwenda shule katika vitabu vya grade one miaka ya seventies.
Mazingira anayoandikia Kiyosaki ni tofauti sana na ya kwetu(hapa nina assume kuwa wewe ni mbongo mwenzetu Paula). Lakini kama ilivyo ada kwenye kila kitabu kuna kitu waweza jifunza na ni kweli kuwa vitabu vya Robert Kiyosaki vina mafunzo mengi ya msingi katika uwekezaji wa kibiashara, menejimenti ya fedha, na mafanikio ya kiuchumi ya mtu mmoja mmoja.
Mimi naamini kama wewe kuwa elimu ni kitu cha muhimu kwenye ukuaji na mafanikio ya binadamu ambayo yanahusisha mambo mengi zaidi ya kuwa na mali/fedha nyingi peke yake.
Lakini kwasababu tunamjadili Kiyosaki, lazima tukiri kuwa ana neno inapokuja kwenye masuala ya pesa. Lazima tukubali pia kuwa kwa dunia yetu ya leo mambo yote ni pesa.
Naomba nikupe nukuu ninayoikumbuka kutoka usomaji wangu nikiwa mtoto wa sekondari bongo. Kitabu kinaitwa The F Certificate( David Gurney)
“The country is sex mad. The world is sex mad. People don’t want culture any more. They want sex and they are ready to pay for it. And if you want to stay in the market you must sell what the people want to buy” End of quote.
Sound vulgur doesn’t it? Wakati huo nilikuwa sija develop ile filter lakini point yangu ni kuwa pesa ndiyo mambo yote kama ilivyokuwa sex kwenye hicho kisa. Kwa hiyo wrong or not, ideas za Kiyosaki zinakubalika sana na zinafanya kazi kwenye utafutaji wa ngawira. Na ndio maana ni mmoja wa bestsellers wa nyakati hizi.
Hey, let me not distract you anymore for now. Make something for hubby, do something for junior or finish up the book you are reading at the moment. Cheerio.
Both Quantum Physics and Neuroscience fascinate me.
Namsoma Sean Caroll katika "The Big Picture:On the Origin of Life, Meaning and the Universe Itself"
Umekisoma "Behave: The Biology of Humans at Our Best and Worst" cha Dr. Robert Sapolsky ?
Baada ya kukisoma unajiona kama na wee unataka kucheza na amygdala vile.
Hiki The wind of winter si bado kutoka? Mwandishi anasema jumla vitakuwa 7.Movies zinakuwaga kama spoiler hivi. Ukiangalia movie au series kitabu kinakosa ladha pia unaanza kuimagine characters kama wa kwenye movies. Kusoma kisha kuangalia ni afadhali, maana movie ni kama summary tu. Kwenye series ya Game of thrones kuna mambo yameenda mbele zaidi ya A dance with dragons kiliishia. Sasa hiki cha sita kitaandika mambo yaliyokwishaonekana kwenye series au kitaenda njia tofauti? Hii ndoa ya vitabu na movies/series sometimes inazingua,
Newsweek notes that the book also says, “The Fifth Avenue Hotel will be the first to feel the fury of the mob,” which is the current location of Trump Tower. “The president’s hometown of New York City is fearing the collapse of the republic in this book, also titled 1900, immediately following the transition of presidential power. Some Americans begin forming a resistance, protesting what was seen as a corrupt and unethical election process,” Newsweek reports of the book.1900.That was a terrible night for the great City of New York – the night of Tuesday, November 3rd, 1896. The city staggered under the blow like a huge ocean liner which plunges, full speed with terrific crash into a mighty iceberg, and recoils shattered and trembling like an aspen.
The people were gathered, light-hearted and confident at the evening meal, when the news burst upon them. It was like a thunder bolt out of an azure sky: “Altgeld holds Illinois hard and fast in the Democratic line. This elects Bryan President of the United States!”
Asante Kiranga.
Anytime. Kwa stamina yako hiki unaweza kukimaliza kwa mkao mmoja tu.Asante Kiranga.
Nimemaliza I am The Messenger by Markuz Zusak.
Leo Nina safari ya masaa 8. Nimetamani kukianza hiki. Nitaleta mrejesho.
Maandishi yake ni madogo ila nipo sambamba na glasses nitayazoom. Ngoja tuone.Anytime. Kwa stamina yako hiki unaweza kukimaliza kwa mkao mmoja tu.
Safari za Thanksgiving au nini?
Thanks. Naenda kumshughulikia Thanksgiving turkey sasa hivi hapa.Maandishi yake ni madogo ila nipo sambamba na glasses nitayazoom. Ngoja tuone.
Hapana sio Thanksgiving. Upo US eh.
Happy Thanksgiving Kiranga.
I wish ningekuwa miongoni mwa those sensible JF friends zako.Thanks. Naenda kumshughulikia Thanksgiving turkey sasa hivi hapa.
I am thankful for my sensible JF friends this year.