Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,647
Huyu mwanamama Nampa heshima yake..
Kilinifungua kwa kiasi kuhusu Africa na Misaada & Mikopo World bank & Imf na Uchina.
Pamoja na mapungufu ya Africa(Viongozi,raia) aliwakandia kiaina Watu wa dunia ya kwanza.
Yuval Harari- Sapiens
Hiki nimekisoma, ......na kimenifanya nitafakari sana uafrika wangu.Capitalist nigger imeandikwa na chika onyeani ni mnaija. Jaribu kukisoma.
Cha Dr Mengi nakieka katika list japo kiukweli kusoma ni mtihani [emoji32][emoji32]
Kitabu kina madini sana. Natamani watu wengi zaidi ninaojadikiana nao hapa wangekuwa wanajadikiana kwa kiwango cha utashi wa kusoma vitabu kama hivi.
Jaribu Ukipatapata Muda ukipitie,Zealot ninacho lakini sijakisoma. Too many books, too little time.
Mwaka Jana The Jackata post Walimhoji Noah,Mkuu umewahi kicheki Guns, Gems and Steel cha Jared Diamond?
Una soft copy?
Kama unatumia PDF au hardcopy na kwa sasa unataka kutumia audio book ni rahisi. Unaangalia tuu malengo yako ni yapi.,Paula Paul naomba kuelekezwa namna ya kusoma kwa audio books mimi ni mchanga kidogo binafsi natumia PDF tu ,tafadhali
Hicho hapo...Dead Aid Dambisa Moyo View attachment Dambisa Moyo.pdfUna soft copy?
Hapana sina mkuu, bahati mbaya sijamsoma Dambisa.Nilikuwa natazama Azam Tv kipindi: Miaka 58 Ya Uhuru wa Tanzania bara
Dr Bravious Kahyoza kagusia kitabu cha Homo deus,Yupo vizuri katika kuwasilisha hoja na kujenga hoja,anachambua kwa uzuri mno Mambo.Mwaka Jana The Jackata post Walimhoji Noah,
Akataja vitabu vitano ambavyo angeshauri Mtu asome kama ni msomaji,Jared Diamond aliwekwa wa tatu (Guns,Gums & steel).
Jared diamond niilianza kumsoma kabla ya kupata Homo sapiens,hivyo Homo sapiens bado nakiona bora.
Noah anakupa shule ya kutosha Unapata Evolution Theory, Genetics kisha anakupiga na shule ya Fersinc Anthropology na mambo kibao kwa lugha ya uziri kabisa.
Noah namfananisha na Manly P hall Mwandishi wa The Secret Teaching of All Ages" Njisi Walivyonauwezo wa kuwa na taarifa na vyanzo vingi sana na njisi walivyoweza kuviweka pamoja kwa lugha nyepesi na kupata walau picha.
MKUU Red Giant;
Nisaidie kitabu cha Dambisa moyo Egde of chaos kama unacho kwa Hand...
Hiki nimekisoma, ......na kimenifanya nitafakari sana uafrika wangu.
Okay, Reading chronologically is good, but For Yuval Books I highly recommend to read them in published order. (Publication order).Naomba chronology ya vitabu Yuval....kuna mdau kaongelea kuhusu kuvisoma in chronological order!
No BS direct marketing~ Dan Kennedy.Wakuu ninataka ninatafuta good readings on marketing. Any recommendations kwa wanaofahamu?
Hicho hapo...Dead Aid Dambisa Moyo View attachment 1287211
I found Plato to be quite good on his own. I've read "Plato: Five Duologues (Euthyphro, Apology, Crito, Meno, Phaedo )" have you read them?Wow.. Ahsante sana.
Naomba unitafutie na vitabu vya Pythogras na Plato. Hasa vya plato!
Vile vizuri
No. Gimme em mamaI found Plato to be quite good on his own. I've read "Plato: Five Duologues (Euthyphro, Apology, Crito, Meno, Phaedo )" have you read them?
Ukisoma hiko kitabu lazima uwe na mapinduzi ya kifikra.Hiki nimekisoma, ......na kimenifanya nitafakari sana uafrika wangu.
Maliza vile kwanza.No. Gimme em mama
Haya.. yaani uniletee mavitabu mengi hadi nizimieMaliza vile kwanza.