Nilikuwa natazama Azam Tv kipindi: Miaka 58 Ya Uhuru wa Tanzania bara
Dr Bravious Kahyoza kagusia kitabu cha Homo deus,Yupo vizuri katika kuwasilisha hoja na kujenga hoja,anachambua kwa uzuri mno Mambo.Mwaka Jana The Jackata post Walimhoji Noah,
Akataja vitabu vitano ambavyo angeshauri Mtu asome kama ni msomaji,Jared Diamond aliwekwa wa tatu (Guns,Gums & steel).
Jared diamond niilianza kumsoma kabla ya kupata Homo sapiens,hivyo Homo sapiens bado nakiona bora.
Noah anakupa shule ya kutosha Unapata Evolution Theory, Genetics kisha anakupiga na shule ya Fersinc Anthropology na mambo kibao kwa lugha ya uziri kabisa.
Noah namfananisha na Manly P hall Mwandishi wa The Secret Teaching of All Ages" Njisi Walivyonauwezo wa kuwa na taarifa na vyanzo vingi sana na njisi walivyoweza kuviweka pamoja kwa lugha nyepesi na kupata walau picha.
MKUU Red Giant;
Nisaidie kitabu cha Dambisa moyo Egde of chaos kama unacho kwa Hand...