Unakielezeaje kitabu cha Great expectation kama umewahi kukisoma.?In my opinion, the last page of Gatsby expertly ties everything together and finishes the story perfectly. Is the most beautiful section James.
I read the book...the expectations weren't great all...to me the same to Steinbeck's East of Eden...I didn't like the ending.Unakielezeaje kitabu cha Great expectation kama umewahi kukisoma.?
Hapana sijakisoma.Unakielezeaje kitabu cha Great expectation kama umewahi kukisoma.?
This 'Rich dad&poor dad' weka mbali na watoto,wakishamaliza digrii zao ndo uwashaur wasome ili wasibweteke na elimu zao.Ila ikitokea wakakisoma in early stages of adction watapotea!!
Hapana sijakisoma.
Hiki ni kitabu ambacho kinafundishwa shuleni , hivyo hiki na Great Gatsby mdogo wangu alikuwa navyo nyumbani (kwa matumizi ya shule A-level) lakini alinifanya na mimi nikose shauku ya kuendelea kukisoma vile alikuwa anakichukia.
Vipi wewe umekisoma?
Kisome, unipe mrejesho. Na mimi nikisome.Hapana sijakisoma.
Kisome, unipe mrejesho. Na mimi nikisome.
Ahsante kwa ushauri..ila for now I'm occupied with fantasy novel. Ngoja nikipotezeeI read the book...the expectations weren't great all...to me the same to Steinbeck's East of Eden...I didn't like the ending.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Hata mimi sijakisoma ila nimeona muvi nyingi zinazohusu hichi kitabu ndio nikashawishika nikitafute..Hapana sijakisoma.
Hiki ni kitabu ambacho kinafundishwa shuleni , hivyo hiki na Great Gatsby mdogo wangu alikuwa navyo nyumbani (kwa matumizi ya shule A-level) lakini alinifanya na mimi nikose shauku ya kuendelea kukisoma vile alikuwa anakichukia.
Vipi wewe umekisoma?
Didn't read any of the twoHata mimi sijakisoma ila nimeona muvi nyingi zinazohusu hichi kitabu ndio nikashawishika nikitafute..
Vipi J.R.R.Tolkien umewahi kumsoma kazi zake? Kama jubu ni ndio unaona nani ni bora kati yake na G.R.R Martin
?
Cc
James comey
Mapambano ya maisha yananiweka nje ya jf ila tupo pamoja.Mic u, dah kitambo sana umepotelea wapi aise
Mungu ni mkuu sana,nimemaliza think & grow rich saiv nipo na kiyosaki 4 quandrant, week ya kesho itakuwa week 2 toka nimeza, naomba Mungu anisaidie mwz unapo isha niwe nimemaliza
Nikisha maliza naomba tupeane ratiba yakusoma kwa pamoja vitabu ninaovyo ona ni vigum
Kuna cha watoto pia kinaitwa rich kid poor kid nadhanThis 'Rich dad&poor dad' weka mbali na watoto,wakishamaliza digrii zao ndo uwashaur wasome ili wasibweteke na elimu zao.Ila ikitokea wakakisoma in early stages of adction watapotea!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi sijakisoma ila nimeona muvi nyingi zinazohusu hichi kitabu ndio nikashawishika nikitafute..
Vipi J.R.R.Tolkien umewahi kumsoma kazi zake? Kama jubu ni ndio unaona nani ni bora kati yake na G.R.R Martin
?
Cc
James comey
J R R Tolkien, Lord of the Rings (1-3)
na G R R Martin, A Song of Ice and Fire(1-7).
Zote ni epic novels zinazosimulia vita ya wema dhidi ya uovu.
Tofauti moja ni kuwa ndani ya Lord of the Rings ni rahisi kuwajua wema mapema( ukimwacha Saruman the White).
Kwenye A Song of Ice and Fire ambako kuna wahusika lukuki sio rahisi kuwabaini wema na wabaya kati ya wahusika wakuu ingawa kuna utakaowachukia mwanzoni na kutamani washindwe.
Setting ya nyakati pia ni tofauti, ya Lords of the Rings ikiwa ya kubuni moja kwa moja huku ile A Song... ikishabihiana na zile vita zilizoibua mataifa ya Ulaya ya zama hizi( e.g UK etc)
Pia characters wa Tolkien (mf. Hobbits na elves) na events zao ni supernatural zaidi wakati kwenye A Song of Ice and Fire kuna mchanganyiko wa matukio na wahusika katika pande zote mbili.
Katika A Song of Ice and Fire kumejaa ukatili usiomithilika. Ni kama vile G R R Martin ana-potray kiwango cha uovu ndani ya binadamu na matumizi ya mabavu na kuvishabikia wakati J R R Tolkien aki- potray watu wema waliolazimika kuingia vitani ili kupinga uovu.
Ni yupi bora kati ya Tolkien na Martin? Nadhani hii itategemea uonjo(taste) ya msomaji. Wote wawili wameandika riwaya zinazovutia sana.
Kwa mtazamo wa kiutu, Tolkien ni mtunzi bora sana ukimlinganisha na Martin.
Mkuu umesoma hivi vitabu? Maana ni vikubwa balaa na nusu.
On the hand, napenda sana movie ya Lord of the rings. Naonaga kama walipatia sana kuwaigiza wale character wa kwenye kitabu.
Harry Potter naona kama walifeli kuwaigiza wale character wa kwenye vitabu.
Nyerere alifanya interview moja, akaukizwa maswali mengi.Akayajibu vizuri kwa historia na falsafa.
Swali la mwisho akaulizwa anasoma kitabu gani?
Akacheka, akauliza, "unataka kujua nasoma kitabu gani?" kama vike hilo swali ni invasive sana.
Akacheka.
Akasema "I am reading Machiavelli" presumably The Prince.
In a way that was slightly suspicious and leaves ine wondering whether he was joking or being serious.
Angalia kuanzia 34:30
Sent from my typewriter using Tapatalk