Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Unakielezeaje kitabu cha Great expectation kama umewahi kukisoma.?
I read the book...the expectations weren't great all...to me the same to Steinbeck's East of Eden...I didn't like the ending.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Hapana sijakisoma.
Hiki ni kitabu ambacho kinafundishwa shuleni , hivyo hiki na Great Gatsby mdogo wangu alikuwa navyo nyumbani (kwa matumizi ya shule A-level) lakini alinifanya na mimi nikose shauku ya kuendelea kukisoma vile alikuwa anakichukia.

Vipi wewe umekisoma?
 
Me kuna hiki napita nacho now, dah aisee hiki kitabu kina madini ya kutosha sana. Wale tunaotaka kuwa good fathers bac siri zipo humu
Screenshot_20200307-233521.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana sijakisoma.
Hiki ni kitabu ambacho kinafundishwa shuleni , hivyo hiki na Great Gatsby mdogo wangu alikuwa navyo nyumbani (kwa matumizi ya shule A-level) lakini alinifanya na mimi nikose shauku ya kuendelea kukisoma vile alikuwa anakichukia.

Vipi wewe umekisoma?

Hapana sijakisoma.
 
I read the book...the expectations weren't great all...to me the same to Steinbeck's East of Eden...I didn't like the ending.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Ahsante kwa ushauri..ila for now I'm occupied with fantasy novel. Ngoja nikipotezee
 
Hapana sijakisoma.
Hiki ni kitabu ambacho kinafundishwa shuleni , hivyo hiki na Great Gatsby mdogo wangu alikuwa navyo nyumbani (kwa matumizi ya shule A-level) lakini alinifanya na mimi nikose shauku ya kuendelea kukisoma vile alikuwa anakichukia.

Vipi wewe umekisoma?
Hata mimi sijakisoma ila nimeona muvi nyingi zinazohusu hichi kitabu ndio nikashawishika nikitafute..
Vipi J.R.R.Tolkien umewahi kumsoma kazi zake? Kama jubu ni ndio unaona nani ni bora kati yake na G.R.R Martin
?
Cc
James comey
 
Didn't read any of the two

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Mic u, dah kitambo sana umepotelea wapi aise
Mungu ni mkuu sana,nimemaliza think & grow rich saiv nipo na kiyosaki 4 quandrant, week ya kesho itakuwa week 2 toka nimeza, naomba Mungu anisaidie mwz unapo isha niwe nimemaliza
Nikisha maliza naomba tupeane ratiba yakusoma kwa pamoja vitabu ninaovyo ona ni vigum
Mapambano ya maisha yananiweka nje ya jf ila tupo pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi sijakisoma ila nimeona muvi nyingi zinazohusu hichi kitabu ndio nikashawishika nikitafute..
Vipi J.R.R.Tolkien umewahi kumsoma kazi zake? Kama jubu ni ndio unaona nani ni bora kati yake na G.R.R Martin
?
Cc
James comey

J R R Tolkien, Lord of the Rings (1-3)
na G R R Martin, A Song of Ice and Fire(1-7).

Zote ni epic novels zinazosimulia vita ya wema dhidi ya uovu.

Tofauti moja ni kuwa ndani ya Lord of the Rings ni rahisi kuwajua wema mapema( ukimwacha Saruman the White).

Kwenye A Song of Ice and Fire ambako kuna wahusika lukuki sio rahisi kuwabaini wema na wabaya kati ya wahusika wakuu ingawa kuna utakaowachukia mwanzoni na kutamani washindwe.

Setting ya nyakati pia ni tofauti, ya Lords of the Rings ikiwa ya kubuni moja kwa moja huku ile A Song... ikishabihiana na zile vita zilizoibua mataifa ya Ulaya ya zama hizi( e.g UK etc)

Pia characters wa Tolkien (mf. Hobbits na elves) na events zao ni supernatural zaidi wakati kwenye A Song of Ice and Fire kuna mchanganyiko wa matukio na wahusika katika pande zote mbili.

Katika A Song of Ice and Fire kumejaa ukatili usiomithilika. Ni kama vile G R R Martin ana-potray kiwango cha uovu ndani ya binadamu na matumizi ya mabavu na kuvishabikia wakati J R R Tolkien aki- potray watu wema waliolazimika kuingia vitani ili kupinga uovu.

Ni yupi bora kati ya Tolkien na Martin? Nadhani hii itategemea uonjo(taste) ya msomaji. Wote wawili wameandika riwaya zinazovutia sana.

Kwa mtazamo wa kiutu, Tolkien ni mtunzi bora sana ukimlinganisha na Martin.
 
Mkuu umesoma hivi vitabu? Maana ni vikubwa balaa na nusu.

On the hand, napenda sana movie ya Lord of the rings. Naonaga kama walipatia sana kuwaigiza wale character wa kwenye kitabu.

Harry Potter naona kama walifeli kuwaigiza wale character wa kwenye vitabu.
 
Nyerere alifanya interview moja, akaukizwa maswali mengi.Akayajibu vizuri kwa historia na falsafa.

Swali la mwisho akaulizwa anasoma kitabu gani?

Akacheka, akauliza, "unataka kujua nasoma kitabu gani?" kama vike hilo swali ni invasive sana.

Akacheka.

Akasema "I am reading Machiavelli" presumably The Prince.

In a way that was slightly suspicious and leaves ine wondering whether he was joking or being serious.

Angalia kuanzia 34:30

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Mkuu nimebahatika kuvisoma vyote isipokuwa tu Winds of the Winter katika A Song of Ice and Fire ambacho bado hakijatoka chote.
Screenplay na riwaya huwa zinatofautiana kwa sababu za kisanii na logistics n.k hivyo si rahisi movie ikafanana kabisa na riwaya yake.
Nadhani movie ya Harry Potter ambayo hairidhishi kwa msomaji wa vitabu ni ile Part 6, Harry Potter and The Deathly Hallows.
Hizi nyingine sioni kama zimefeli sana ukilinganisha na vitabu vyake.
Namhusudu sana huyu dada JK Rowlings kwa utunzi wake wa Harry Potter. My favourite is part 4- Harry Potter and The Goblet of Fire.
 
Nyerere alifanya interview moja, akaukizwa maswali mengi.Akayajibu vizuri kwa historia na falsafa.

Swali la mwisho akaulizwa anasoma kitabu gani?

Akacheka, akauliza, "unataka kujua nasoma kitabu gani?" kama vike hilo swali ni invasive sana.

Akacheka.

Akasema "I am reading Machiavelli" presumably The Prince.

In a way that was slightly suspicious and leaves ine wondering whether he was joking or being serious.

Angalia kuanzia 34:30

Sent from my typewriter using Tapatalk

Interesting. I believe a book like Niccolo Machiavelli’s The Prince could not escape the attention of an avid reader like Mwl. Nyerere.

However, I would contend that Nyerere’s politics were not Machiavellian, at least not for the larger part. I would also suggest that perhaps this was because he had no true competition among the populace of Tanganyika after putting down the likes Zuberi Mtemvu’s ANC, and UTP.
 
Back
Top Bottom