Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Ya kiarabu lakini ninayo. Ila sababu ya umaarufu wake hiki kitabu bila shaka kitakuwa kimetarujumiwa katika Kiingereza search "A Thousand and One Nights".
Kutarujumiwa ndio nini wewe Zurri

kiingilishi kitupe tabu ya kukaa na kadikishionare, hadi kiswahili tubebelee makamusi.

Acha zako wewe[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi nilikuwa nauona, nau skip kumbe mzuri hivi.

Sasa na wale ambao hatuwezi kusoma bila kupewa mitihani, mnatusaidiaje?

Kama vipi andaeni mitihani huku mkitoa na reference za vitabu vya kujibia hapahapa JF.

Paula Paul unasemaje?[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nitakuandalia mtihani Anza na Man's Search for Meaning by Viktor Frankl.
Ni kifupi na ni kirahisi kukisoma.
Au unaweza kusoma Dostoevsky's Notes from Underground ndicho nakisoma sasa hivi.
 
The game-neil Strauss....PUA Bible.....richest man in babylon...48 laws of power...why we want you to be rich ...Forbiden mind control techniques....Neuro linguistic programm....The power of sub conscious mind ...How to win and influence people...Women superpower seduction-Darake rake.... stealth hypnotic mind controll...
 
Hii huandikwa hivi "Alf Laylat wa Laylat" .
Kheeeeee nipo nasoma comment tuu ila kuna kitu naomba if unayo soft copy naomba... Binafsi napenda vitabu vya interligensia kama cha the inferno kama soft copy unazo please usione shaka ni tag maana uwa vina ni changamsha ubongo wangu kupunguza mtindio
 
Poa.
 
Back
Top Bottom