Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

If you have kamuda(Time)
Soma kitabu hiki cha JOHN GRISHAM- THE CLIENT
Kama sijasahau ni bonge la novel..
Yani ukisoma hichi kitabu nahisi ...
Utaacha kuangalia vijitamthiliia uchwala vya tv
 
Kila siku tunajihusisha na aina mbili za maongezi .
1. Talking to other people.
2. Talking to ourselves. (Self talk)
Na hata uwe introvert au Extrovert tunatumia muda mwingi kuongea wenyewe.

Hizo aina za maongezi ambayo tunakuwa tunaongea wenyewe yana madhara (both +ve and -ve ) katika ubora wa maisha yetu.

Hapa inategemea na aina ya lugha tunayotumia "kujielezea" sisi wenyewe. Kama tukiwa tunajizungumzia mambo yaliyo positive inakuwa inaboresha mood, confidence , furaha na kufanikiwa katika maisha.
Kama tutakuwa tunajizungumzia mambo Negative madhara yako ni kutufanya tujione sisi ni helpless. Katatizo kadogo unaweza kuliona ni kubwa au hata kuongeza matatizo.
Hivo ni bora kutumia lugha sahihi to improve your life.
Fikiria ni mara ngapi umewaza " self talk" like, I am stupid, I always messed things up, My life is over etc.

Well, hiki ni kitabu cha UNF*K YOURSELF : Get Out Of Your Head and Into Your Life. By GARY JOHN BISHOP.

Utajifunza mengi ikiwa ni pamoja how self talk changes our lives.

I would like to recommend this to @denvers na wengineo watakao vutiwa nacho.
 
Nataka ninunue Amazon kindle nianze kusoma vitabu

Vipi unafurahia kusoma vitabu as soft copy kupitia Kindle?..

What are the drawbacks
Ndio kinafundishwa shuleni.
Mimi nitatumia Kindle. Siwezi kwenda nje kununua wala kusoma.
 
Wewe mvivu Cognition, yaani nusu tuu ukaacha. Kimalize tuwe ma-billionea.
Your wish P, huo ubilionea na uje.

Now, namalizia 21 Lessons for the 21st Century cha Yuval Noah Harari (ni Audiobook but sometime nasoma pia maana nina soft copy yake).

Nikimaliza hicho ndio nitarudi kwa huyo mu-Australia (sell like crazy).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…