That's itSoma kingine kinaitwa CASH FLOW QUADRANT.
Utapata total change kwenye maisha yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekisoma nipo chuo. Nilipomaliza chuo mpaka leo sijafata cheti na sijutii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, hiki "Cashflow Quadrant nacho bab kubwaaHongera sana ila mimi nakushauri ungesoma series zote za The Rich Dad ukishindwa kabisa soma hata hii moja "Cashflow Quadrant".
Unaweza ukatutumia soft copy yake mkuuuWakuu leo nimemaliza kusoma icho kitabu nakiri kimenibadilisha sana, nimekua sina displine ya hela hata kidogo nahisi nimechelewa kukisoma hiki kitabu and I promise from now on am gonna be rich trust me guys. Nimejipa miaka miwili yakuyafanyia kazi yote niliosoma. Sasa hivi nimeanza kusoma kitabu cha “ THINK BIG GROW RICH”.... Stay at home corona inaua.
Sent from iPhone 6s Plus
Sema Soft Copy sio online Kaka [emoji2][emoji2]Online naweza kusoma?
Embu niambie siku ingine anaandikaga nini kabla sijamfunguaKwa marA ya kwanza leo nimeona umeandika point
Usitamani hata kumchek anachoandika...! Ana tabia za kupenda kuwaongelea wanaume kama kina MBOWE sijui aliwakosea nini!yaan design anampenda sana MboweEmbu niambie siku ingine anaandikaga nini kabla sijamfungua
Ni tabia, nayo ina uraibu wake[emoji848][emoji848] hivi kusoma vitabu ni kipaji au uamuzi tu ??
Inachukua muda gani kuuona huo ugumu hadi kuzoea ?? Siyo siri natamani sana niwe mpenzi wa kusoma vitabu ila naona uvivu !!Ni tabia, nayo ina uraibu wake
Kama huna mazoea hayo, ukianza mwanzo unaona ni kazi kweli kweli , ila ukizoea utakuwa addicted
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁🤣Kuna ile hali (nguvu na mizuka) inatokea unapomliza kuangalia movie za ngumi unajihisi unaweza ukapiga watu 10 peke yako, nahisi ndo aliyonayo mleta mada
Nimesoma hicho kitabu ila bado sina discipline ya hela asee sijui nimejiloga na nini!Hongera sana ila mimi nakushauri ungesoma series zote za The Rich Dad ukishindwa kabisa soma hata hii moja "Cashflow Quadrant".
Mimi huwa natumia pdfdrive.net hapo huwa sikosi kitabu sema wadau pia watume app nzuri ya reader na je wanadownload format gani za vitabu Epub au pdf watuambiae hizo readers application wanazotumia, kwangu kwa pc ni adobe na sumatra ila kwa phone pia WPSApp gani nzuri ya kupakua vitabu mana hii tulioizoea saiv siyo free tena
Inachukua muda gani kuuona huo ugumu hadi kuzoea ?? Siyo siri natamani sana niwe mpenzi wa kusoma vitabu ila naona uvivu !!