Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Huyo jamaa ni bonge la genius utajiri anaoupata kwa kuuza vitabu ni zaidi ya alionao, nimebahatika kusoma baadhi ya vitabu vyake ukiachana na maswala ya displine ya matumizi ya pesa formula zake kwa huku kwetu haiwezekani
 
Umejifunza nini?

Nimejifunza vingi mkuu siwezi kuandika vyote hapa kwa kifupi nimejifunza the difference btn assets and liabilities, nimejifunza to mind my own business, nimejifunza to focus on investing rather than saving, nimejifunza if you want to be rich you need to be financially literate, nimejifunza how to make money work for me. Mkuu vipo vingi sana nilivyojifunza ivyo ni baadhi tuu.


Sent from iPhone 6s Plus
 
daaah mm nnaweza kusoma makala ya biashara iliyopostiwa ktk forum flan eg.jf,whatsapp n.k hata iwe na page 10 lakn ktabu hata iweje yaan kumaliza page 3 mtihan.

Sent using Jamii Forums mobile app


Hhaha.. Mie bas napenda hard copy zaidi aisee...usk lazima nisome hata pg moja!...mie za kuchqpisha nasoma by the way
 
Hongera sana ila mimi nakushauri ungesoma series zote za The Rich Dad ukishindwa kabisa soma hata hii moja "Cashflow Quadrant".

Ahsante mkuu hua nafatilia sanaaa post zako unajua vitu vingi sina budi kufata ushauri wako, huwezi kuamini hiki kitabu nimekisoma kupitia post zako. God bless you.


Sent from iPhone 6s Plus
 
Niko apa kwanzaa izi kazi zakuajiriwa waendelee wenye moyo
JPEG_20200427_201923_3461029938118681963.jpg


#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
 
Unatakiqa ukirudie tena na tena kisha usome how to be rich BT napolian hill.Kisha master,ukamsome Brian Tracy,kasome capitalist nigger hiki ni maalumu kwa watu weusi.Utahamia dimension nyingine ya kufikiri.

Sawa mkuu


Sent from iPhone 6s Plus
 
Back
Top Bottom