Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Kuna ile hali (nguvu na mizuka) inatokea unapomliza kuangalia movie za ngumi unajihisi unaweza ukapiga watu 10 peke yako, nahisi ndo aliyonayo mleta mada

[emoji16][emoji16][emoji16] absolutely mkuu upo sahihi na hasira pia ninazo kwasababu back days nimekua nikifuja sana hela kwa vitu visivyo vya msingi like kununua simu za gharama, nguo + raba kali, Yani vitu vyoote ambayo author kavitaja kwenye hicho kitabu vinavyofanywa na poor people mimi nilikua navifanya before dah


Sent from iPhone 6s Plus
 
Anza vyepesi kama vya Ben Carson na story zake kama Think Big,Gifted hands,Take the risk etc:

Baada ya hapo najua utavutika tu ndio unakuja kwa James Hadley Chase;Huyu ukishasoma collection yake basi tunakuingiza moja kwa moja kwenye uraibu wa vitabu

Sent using Jamii Forums mobile app


Mm nashauri aanze na AS A MAN THINKETH Cha JAMES ALLEN, kina page 30 tu
 
Wakuu leo nimemaliza kusoma icho kitabu nakiri kimenibadilisha sana, nimekua sina displine ya hela hata kidogo nahisi nimechelewa kukisoma hiki kitabu and I promise from now on am gonna be rich trust me guys. Nimejipa miaka miwili yakuyafanyia kazi yote niliosoma. Sasa hivi nimeanza kusoma kitabu cha “ THINK BIG GROW RICH”.... Stay at home corona inaua.


Sent from iPhone 6s Plus
Bila kusahau usome na "First thing First" by Stephen Covey


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa ni bonge la genius utajiri anaoupata kwa kuuza vitabu ni zaidi ya alionao, nimebahatika kusoma baadhi ya vitabu vyake ukiachana na maswala ya displine ya matumizi ya pesa formula zake kwa huku kwetu haiwezekani

Lengo la huyo mwandishi ni kukuuzia vitabu vyake, ili azidi kujipigia mihela wala sio kukufundisha wewe.... we chukua maarifa kisha tukutane field baada ya mwezi au ukishasoma kitabu kingine.
 
Back
Top Bottom