Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Huwa nakipitia hiki

Rich Dad poor Dad nilisoma enzi Niko chuo hata Mimi kilinibadilisha mtazamo wangu katika nyanja za fedha na uchumi

Nikipelekea kuwa bahiri sana sana sana

Na mafanikio nimeona leo

Nikichoka napiga novel za Chase

Huku Niko kwenye chart zangu za Dow Jones ,Nasdaq na S&P500 nikucheki fursa [emoji3]
IMG_20200427_211516.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inachukua muda gani kuuona huo ugumu hadi kuzoea ?? Siyo siri natamani sana niwe mpenzi wa kusoma vitabu ila naona uvivu !!
Inategemea umeanza na kitabu chenye maudhui yapi, ila ukianza motivational/inspirational na story books utapenda sana kwa sababu ukisoma kimoja kinakupa hamasa ya kusoma kingine.

Baadae yanageuka kuwa mazoea halafu tabia, yaani hutoacha kamwe na utajengeka vema kiakili, utakuwa mtu positive na utaacha kulaumu laumu

Nb
Vitabu tusome ni chakula cha ubongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejifunza vingi mkuu siwezi kuandika vyote hapa kwa kifupi nimejifunza the difference btn assets and liabilities, nimejifunza to mind my own business, nimejifunza to focus on investing rather than saving, nimejifunza if you want to be rich you need to be financially literate, nimejifunza how to make money work for me. Mkuu vipo vingi sana nilivyojifunza ivyo ni baadhi tuu.


Sent from iPhone 6s Plus
Hongera mkuu
 
Kama kusoma vitabu kungekuwa na matokeo kama haya yanayoelezwa humu haki ya nani tusingekuwa tunavaa barakoa za vitambaa!

Siamini katika kusoma kitabu tu then uniambie umefanikiwa!! Labda AKILI yangu inanidaganya,,,, ni sawa na kuamini kwamba kwenda kanisani or semina za uchumba pekee ndo utapata mume au mke,,,,


Maoni yangu!! Huwezi kufanya mazoezi sjui kwenda jimi kutunisha misuli wakati hujala, soma vitabu ukiwa na capital tayari then make practice,you will never success reading or listeng to inspirational speakers while you're empty in your pocket,,,

Haya mambo ndo maana yamefanya vijana wengi kushindwa kutumia nguvu kazi zao badala yake wanajazana Global alliance na Forever living, tafuta mtaji ndugu then take time to know the crues of business, and sometimes don't complicate things to that extent,Nenda kariakoo utakuta kijana hajawahi hata kusikia mambo ya vitabu ila ana make money hatariii


I Unfeigned eulogize the chagga,wanajua kutafuta,, sometimes don't waste time kusoma vitabu muda huo ungeutumia kutafuta,,,, heshimu muda ndg.


Tuwaachie kina Obama na Bill Gates wasome vitabu ila kwa sie watafutaji noooo ila kama unakipato take time to read books and listening to Nnanauka na wengine!!

Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom