Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,039
- 2,676
And this is what matters, Bravo,, ndo maana nakuelewaga madam Paula PaulKuna siku tumewahi kuwa na mada inafanana na hii, nadhani alikuwa ni Don Clericuzio na Zurri kama sijakosea.
Nilimwambia nimesoma sana vitabu vya relationships, friendship na kuhudhuria semina za nyingi za mapenzi , mahusiano na urafiki hadi notebook imejaa, but I just can't put them into practice.
Tukagundua kwamba siyo kila kitu tunachokisoma lazima tukitumie katika maisha yetu, vingine tunajifunza kwa sababu ya kuwapa watu wengine ushauri.
Mfano watu wengi wanaofundisha ujasiriamali, wanategemea fee ya kuingia kama mapato yao, wengi hawana hata biashara ya karanga.
So, Fransisco ukiona unashindwa kukitumia ulichojifunza tafuta mtu umpe akitumie yeye yawezekana siyo kwa ajili yako.
Sent using Jamii Forums mobile app