Umenisingizia.Nimekumbuka kama vile kuna siku tumeongelea kitu kama hicho. Ulikuwepo pia Zurri au nimekusingizia?
Yes ulichangia hivyo nakumbuka.Umenisingizia.
Mimi nilichangia kwa mtindo mwingine, nikasema sio kila mtu unatakiwa uchukue elu toka kwake.
Hapa umenikumbusha vitu viwili muhimu sana katika usomaji wa vitabu na faida zake na hasara zake na kujutia kusoma kitabu fulani, moja inanihusu mimi, nyingine inamuhusu msomi mkubwa kama ushahidi.Kwa ufupi, kusoma kitabu kwa namna yeyote ile haikuachi kama ulivyokua awali. Hua sijutii au kuihurumia pesa nnayoitumia kununua kitabu.
Safi kabisa, na wewe ukasema umehudhuria semina nyingi mno, huku mimi nikasema nilisomeshwa kitabu kimoja tu kuhusu jambo husika na sikukimaliza ila nilinufaika nacho pakubwa mno.Yes ulichangia hivyo nakumbuka.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120] shukraniYou are Welcome,.kwa uwezo wako ni jambo rahisi tu[emoji120][emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa umenikumbusha vitu viwili muhimu sana katika usomaji wa vitabu na faida zake na hasara zake na kujutia kusoma kitabu fulani, moja inanihusu mimi, nyingine inamuhusu msomi mkubwa kama ushahidi.
Mimi kuna vitabu nilinunua miaka kadhaa, hapa nilipo nina mpango wa kuvichoma MOTO kabisa. Kuna vitabu mtu unaweza kusoma na ukajutia kwanini umesoma kitabu kile au kwanini umenunua, hilo mara nyingi hutanguliwa na ujinga na kutokujua. Unaweza kusoma kitabu kisikunufaishe zaidi ya kulupotezea muda na kukujaza ujinga, hapa lazima uwe na MIZANI.
msomi mmoja aliwahi kuandika kitabu kuhusu nasaba za watu, kabla ya kukichapa na kukisambaza, sababu alikuwa hajaitakasa nia yake juu ya kile kitabu, na aliandila kuonyesha watu ufundi wake na umahiri wake katika elimu ya nasaba, basi aliliteketeza na leo hii kimebaki jina.
Ahsante....
Naanzia hapa, kuchukua tahadhari ni jambo la lazima.Bila shaka
Lakini pia msisitizo hapo kwenye kuweka mlingano wa aina ya vitabu tahadhari inahitajika. Imani yangu ni kuwa, kupotoshwa kirahisi inategemea na msingi ulionao ambao nao pia unajengwa kwa mambo mbalimbali ikiwepo kusoma vitabu.
You said it The Monk, Crystal clear.
Sasa jiandae nakuja kukufundisha huko PM.
Pdfdrive.com inakataaa kudownload mkuuuNenda google mkuu andika PDF drive utasearch kitabu chochote unachotaka mkuu
Sent from iPhone 6s Plus
Mkuu kitume apa na mimi nakiitajinipe email yako pm ili nikutumie rich dad poor dad na hicho cha cashflow
ila viko katika mfumo wa epub
WPS inapokea format zote?Mimi huwa natumia pdfdrive.net hapo huwa sikosi kitabu sema wadau pia watume app nzuri ya reader na je wanadownload format gani za vitabu Epub au pdf watuambiae hizo readers application wanazotumia, kwangu kwa pc ni adobe na sumatra ila kwa phone pia WPS
kama. una soft copy zake tusaidie na sisi tupate maarifa1: Bible,
2: Before you do,
3: 48 laws of power,
4: Long Walk To Freedom,
5: Dreams From My Father.
6 ...........
By the way nimesoma alots of books kwenye kila nyanja biashara,siasa,dini the reason ni kuwa na uelewa wa mambo yote yanayofocus kwenye jamii na maisha ya kila siku vitabu nilivyosoma vinafika 200 na zaidi.
Hapana ila kuna app inaitwa e reader prestigio naona ndo ina accept format kibao mpakà audio listerning
Thanks.Hapana ila kuna app inaitwa e reader prestigio naona ndo ina accept format kibao mpakà audio listerning
Upande wa android sijajua kama kwenye store za ios pia iko available
Yes, umekumbuka vizuri sana.Safi kabisa, na wewe ukasema umehudhuria semina nyingi mno, huku mimi nikasema nilisomeshwa kitabu kimoja tu kuhusu jambo husika na sikukimaliza ila nilinufaika nacho pakubwa mno.
Naendelea kuvuta kumbukumbu.
Unanitania sasa The Monk.Tatizo ni hapo kwenye lugha ya malkia ila ahsante.
Kweli kabisa, material ni mengi.Naomba tuanze kesho nikishanunua counter book kubwa.
Maana diary litawahi kujaa.