Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Hello Paula. Salaam kwako pia.

Nilikipenda sana kisa cha Smilla kama mwanamke aneyeishi kwenye ulimwengu wa hisabati (organized) na theluji na barafu
(zinazoficha mambo mengi kwa wasio weledi) lakini geometry yake ikiwa wazi kabisa kwake yeye ambaye ni Danish/Inuit au mueskimo.

Hana muda na mapenzi lakini anaichangamkia burudani(pleasure) ya penzi vilivyo kama ulivyomnukuu hapo juu.

Lakini ana utu wa kutosha kuingia kwenye vita dhidi ya uovu.

BTW, hapo mwisho wa nukuu yako, hiyo kitu inawezekana?
Niliirudia sana hiyo passage.

Miss you Paula.

And the language is no longer mine..!
Hicho kitabu sijabahatika kukisoma kabisa.
Ila umenitamanisha nikisome, nitajitahidi nikisome. Nasikia sio kikubwa sana.

Ila kilijipatia umaarufu kwenye fahamu zangu kwa ajili ya hiyo "quote". Ilizua sintofahamu kwa watu, kila mtu alikuwa like " What did I just read with my own two eyes? OMGGGGGGG" anashangaa amesoma nini jamani. Wengine wakasema hiyo clitoris ni kama ya hyena au? lol.

Binafsi sielewi alikuwa anataka kusema nini itakuwa labda was just a bad translation. Maybe the man rubbed his dick on her clit... It makes sense yeah?

I miss you too Nownmai. Mbali na kwenye hii post sikuoni kwenye threads nyingine hata bahati mbaya.
 
Asante sana mkuu,hili ndo ambalo nililihitaji kutoka kwako madam.

The secret ni kitabu kizuri sana,kumbe kuna vizuri zaidi.

Navutika sana na vitabu vya aina hii.

Ubarikiwe mkuu
Asante Safuher.
Ukisoma kitabu chochote, fuatilia kama kina series. Ukiona kina series jitahidi umalize series zote. Ni muhimu japo sio lazima.

Karibu tena.
 
Hicho kitabu sijabahatika kukisoma kabisa.
Ila umenitamanisha nikisome, nitajitahidi nikisome. Nasikia sio kikubwa sana.

Ila kilijipatia umaarufu kwenye fahamu zangu kwa ajili ya hiyo "quote". Ilizua sintofahamu kwa watu, kila mtu alikuwa like " What did I just read with my own two eyes? OMGGGGGGG" anashangaa amesoma nini jamani. Wengine wakasema hiyo clitoris ni kama ya hyena au? lol.

Binafsi sielewi alikuwa anataka kusema nini itakuwa labda was just a bad translation. Maybe the man rubbed his dick on her clit... It makes sense yeah?

I miss you too Nownmai. Mbali na kwenye hii post sikuoni kwenye threads nyingine hata bahati mbaya.

Asante Paula.

Ukipata nafasi soma pia series ya Alexander McCall Smith, The No 1 Ladies Detective Agency.

Nina hakika utamfurahia sana Precious Ramotswe( kama ulikuwa bado kuvisoma), mwanamke mbotswana anayeitetea jamii yake dhidi ya uovu katika hali ya kawaida kabisa.

Utaweza pia kuwalinganisha hawa akina dada wawili, Smilla ambaye anakuwa detective ili kuchunguza kifo cha rafiki yake, chokoraa Issaiah, na Mma Ramotswe anayeunda kwa makusudi taasisi ya kupeleleza makosa ya jinai ambayo yanashindwa kushughulikiwa kisheria.

Both of them are beautiful and independent ladies, and considerably wealthy, according to their respective backgrounds.

In contrast Smilla is in Denmark while Mma Ramotswe is operating from Botswana(Mbingu na ardhi?).
Smilla is aggressive and arrogant while Precious is a humble, generous and kind African lady.

Both of them are dating mechanics but while Mma Ramotswe is docile and submissive to her man( up to a point of course) Smilla want to dominate Peter and even .... him with her clit...!(shows a bisexual trend hardly heard of in Africa).
etc,etc.

Hii series, The Ladies No 1 Detective Agency na sequels zake kama Tears of the Girrafe, Tea Time for the Traditionally Built, Blue Shoes and Happiness, The Kalahari Typing School for Men, A Cupboard Full of Life etc etc ni kichocheo cha fikra na burudani tamu sana kwa msomaji.

Lakini soma mwenyewe Paula.
(Na bookworms wengine of course).

Ciao Paula.

Take care.
 
Asante kwa kunipendekezea hivi vitabu Nowonmai. Subiri mrejesho.
 
Professor nashukuru huu uzi umenifanya nikirudie kwa hasira kitabu cha The Seven Habits of Highly Effective People. Nilishakinunua mara mbili nikianza kusoma, anatokea mtu anakiazima safari hii nimekipata hakitoki asilani hadi nikimalize.
The Monk, mwanafunzi wangu, nashukuru sana kwa cheo ulichonipa.
Nafurahi pia kusikia huu uzi umekuwa na positive results kwako.
Ni kizuri hiko kitabu ?
 
Epidemics and Society: From the Black Death to the Present
Book by Frank M Snowden

A “brilliant and sobering” (Paul Kennedy, Wall Street Journal) look at the history and human costs of pandemic outbreaks

The World Economic Forum #1 book to read for context on the coronavirus outbreak

This sweeping exploration of the impact of epidemic diseases looks at how mass infectious outbreaks have shaped society, from the Black Death to today. In a clear and accessible style, Frank M. Snowden reveals the ways that diseases have not only influenced medical science and public health, but also transformed the arts, religion, intellectual history, and warfare.

A multidisciplinary and comparative investigation of the medical and social history of the major epidemics, this volume touches on themes such as the evolution of medical therapy, plague literature, poverty, the environment, and mass hysteria. In addition to providing historical perspective on diseases such as smallpox, cholera, and tuberculosis, Snowden examines the fallout from recent epidemics such as HIV/AIDS, SARS, and Ebola and the question of the world’s preparedness for the next generation of diseases.
Epidemics and Society by Frank M. Snowden

Twenty years ago, the US Department of Defense set out a clear warning: “Historians in the next millennium may find that the 20th century’s greatest fallacy was the belief that infectious diseases were nearing elimination. The resultant complacency has actually increased the threat.”

Prof. Frank Snowden lecture on major epidemics :

00:00 - Chapter 1. Responses to the Plague and Miasmatism 09:05 - Chapter 2. Individual Measures of Self-Protection and Scape-Goating 18:52 - Chapter 3. Religiosity 25:51 - Chapter 4. Organized Public Health Measures 37:25 - Chapter 5. Did the Public Health Measures Succeed?
Source: YALEcourses
 
Epidemics and Society: From the Black Death to the Present
Book by Frank M Snowden

Over the course of its three pandemics, the plague had major economic, religious, cultural and political implications for affected societies. In its wake, religious beliefs and medical practices were questioned, public authorities tested, and the social fabric strained.

00:00 - Chapter 1. Bubonic Plague 14:03 - Chapter 2. Three Western Pandemics 23:39 - Chapter 3. Etiology 34:10 - Chapter 4. Symptomatology and Pathology

Source : YaleCourses
 
•Purpose driven life by Rick Warren kipo pia version ya kiswahili.(maisha yanayoongozwa na malengo)
•The holly spirit and his gifts by Kenneth E Hagin.A great spiritual book
Purple hibiscus by chimmanda ngozi adichie
Half of yellow sun by chimmanda ngozi adichie
Americanah by chimmanda ngozi adichie
The thing around your neck by chimmanda ngozi adichie
Things fall apart by chinua Achebe
Gifted hands ben Carson
Songs of lawino and ocol
Who Will cry when you die
Napenda Sana vitabu ambavyo authors wake ni waafrica, you can relate and learn at the same time my favorite authors so far ni chinua Achebe na chimmanda ngozi adichie.
Je naweza kipata online? kama unacho nitumie
 
Never Wait For The Fire Truck: How The Worlds Deadliest Plane Crash Changed My Life And Yours

by David Alexander

1589329737276.png

Kufahamu vizuri yaliyomo kwenye kitabu hicho, tenga saa moja uangalie mojawapo ya documentary hizi hapa chini. Mwandishi wa kitabu hivyo alikuwa abiria ya kwenye ndege ya Pan Am iliyohusika.

1. Great & Lesser key of Solomon- Aleyster Crowley.

2. Quaballah
3. Men are from mars & women are from Venus - John Gray
 
1. A Tramp Abroad-By Mark Twain
2. North of South-By Shival Naipaul

If you are interest in reading travel books these are must read books.The former have have detailed travel tips across Germany, Switzerland, France and Italy.You will have all disciplines covered in one package be it natural or social sciences:business,love,religion, you name it.

The latter is all about an author's detailed observations on Kenya's capitalistic life versus life style in Tanzania and Zambia socialistic countries by late 1970s.
 
The Monk, mwanafunzi wangu, nashukuru sana kwa cheo ulichonipa.
Nafurahi pia kusikia huu uzi umekuwa na positive results kwako.
Ni kizuri hiko kitabu ?

Kwako kinaweza kisiwe na manufaa makubwa sana ila kwa sie watu wa shake well before use, kizuri.

It's all about Character. Sio mbaya ukipata muda macho yakapita tu juu juu hautakosa chochote.

Barikiwa professor
 
I did read the book.

Ni miongoni mwa vitabu ambavyo ni muhimu sana kuvisoma. Na ndipo nilipojifunza ku-note kila nilichokifanya kwa siku ili nione nimepoteza muda gani kwenye ujinga, The Monk.

I just can't recommend it highly enough kwa ambao bado.
 
Kitabu hiki nadhani nimekisoma pekeyangu Business secret in the Bible mwadishi ni muisrael aisee amazing book ever...
I did read the book.

Ni miongoni mwa vitabu ambavyo ni muhimu sana kuvisoma. Na ndipo nilipojifunza ku-note kila nilichokifanya kwa siku ili nione nimepoteza muda gani kwenye ujinga, The Monk.

I just can't recommend it highly enough kwa ambao bado.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom