Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Kinaongelea siri ya biashara iliyopo ndani ya biblia yani kina mistari humo ndani ukiisoma na anavyoifafanua utashangaa sana yani ndio mana waisrael wamefanikiwa sana kibiashara maana kuna misingi ya biashara ambayo iko ndani ya biblia huez kuipata kwingine kitafte ukisome utashangaa sana unaweza kumtafuta youtube anaitwa Rabbi daniel lapin ni muisrael ambae ameish sana africa na vitabu vyake ni best selling book in usa
Kinaongelea kwa uhusiano wa Bible au kipoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitabu kipi umemaliza bro? Nami nikipitie
Wakuu leo nimemaliza kusoma icho kitabu nakiri kimenibadilisha sana, nimekua sina displine ya hela hata kidogo nahisi nimechelewa kukisoma hiki kitabu and I promise from now on am gonna be rich trust me guys. Nimejipa miaka miwili yakuyafanyia kazi yote niliosoma. Sasa hivi nimeanza kusoma kitabu cha “ THINK BIG GROW RICH”.... Stay at home corona inaua.

Sent from iPhone 6s Plus

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinaongelea siri ya biashara iliyopo ndani ya biblia yani kina mistari humo ndani ukiisoma na anavyoifafanua utashangaa sana yani ndio mana waisrael wamefanikiwa sana kibiashara maana kuna misingi ya biashara ambayo iko ndani ya biblia huez kuipata kwingine kitafte ukisome utashangaa sana unaweza kumtafuta youtube anaitwa Rabbi daniel lapin ni muisrael ambae ameish sana africa na vitabu vyake ni best selling book in usa

Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you, Siku za ajabu.
I will definitely check it out. I wanna move on to something different and enjoy it at its own.
 
Kinaongelea siri ya biashara iliyopo ndani ya biblia yani kina mistari humo ndani ukiisoma na anavyoifafanua utashangaa sana yani ndio mana waisrael wamefanikiwa sana kibiashara maana kuna misingi ya biashara ambayo iko ndani ya biblia huez kuipata kwingine kitafte ukisome utashangaa sana unaweza kumtafuta youtube anaitwa Rabbi daniel lapin ni muisrael ambae ameish sana africa na vitabu vyake ni best selling book in usa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajie jina nikiagize.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa nitakuandalia hiyo list.
Lakini anza na hiki The Seven Habit Of Highly Effective People by Stephen Covey .
Kuna tutorial yake nilishakuwepo nayo kwenye pc yangu kwa bahati mbaya window ilicorupt na kila nikijaribu kuitafuta ile tutorial hasa kule kickass via utorrent siipati tena. Msaada wa hiyo video tutorial please kam utakuwanayo. Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tutorial yake nilishakuwepo nayo kwenye pc yangu kwa bahati mbaya window ilicorupt na kila nikijaribu kuitafuta ile tutorial hasa kule kickass via utorrent siipati tena. Msaada wa hiyo video tutorial please kam utakuwanayo. Natanguliza shukrani zangu za dhati.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuitafuta/ ku-search YouTube Eng Inc.
 
Back
Top Bottom