Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,647
- 13,648
- Thread starter
-
- #1,781
Hicho kitabu sijabahatika kukisoma kabisa.Hello Paula. Salaam kwako pia.
Nilikipenda sana kisa cha Smilla kama mwanamke aneyeishi kwenye ulimwengu wa hisabati (organized) na theluji na barafu
(zinazoficha mambo mengi kwa wasio weledi) lakini geometry yake ikiwa wazi kabisa kwake yeye ambaye ni Danish/Inuit au mueskimo.
Hana muda na mapenzi lakini anaichangamkia burudani(pleasure) ya penzi vilivyo kama ulivyomnukuu hapo juu.
Lakini ana utu wa kutosha kuingia kwenye vita dhidi ya uovu.
BTW, hapo mwisho wa nukuu yako, hiyo kitu inawezekana?
Niliirudia sana hiyo passage.
Miss you Paula.
And the language is no longer mine..!
Asante Safuher.Asante sana mkuu,hili ndo ambalo nililihitaji kutoka kwako madam.
The secret ni kitabu kizuri sana,kumbe kuna vizuri zaidi.
Navutika sana na vitabu vya aina hii.
Ubarikiwe mkuu
Hicho kitabu sijabahatika kukisoma kabisa.
Ila umenitamanisha nikisome, nitajitahidi nikisome. Nasikia sio kikubwa sana.
Ila kilijipatia umaarufu kwenye fahamu zangu kwa ajili ya hiyo "quote". Ilizua sintofahamu kwa watu, kila mtu alikuwa like " What did I just read with my own two eyes? OMGGGGGGG" anashangaa amesoma nini jamani. Wengine wakasema hiyo clitoris ni kama ya hyena au? lol.
Binafsi sielewi alikuwa anataka kusema nini itakuwa labda was just a bad translation. Maybe the man rubbed his dick on her clit... It makes sense yeah?
I miss you too Nownmai. Mbali na kwenye hii post sikuoni kwenye threads nyingine hata bahati mbaya.
Asante kwa kunipendekezea hivi vitabu Nowonmai. Subiri mrejesho.Asante Paula.
Ukipata nafasi soma pia series ya Alexander McCall Smith, The No 1 Ladies Detective Agency.
Nina hakika utamfurahia sana Precious Ramotswe( kama ulikuwa bado kuvisoma), mwanamke mbotswana anayeitetea jamii yake dhidi ya uovu katika hali ya kawaida kabisa.
Utaweza pia kuwalinganisha hawa akina dada wawili, Smilla ambaye anakuwa detective ili kuchunguza kifo cha rafiki yake, chokoraa Issaiah, na Mma Ramotswe anayeunda kwa makusudi taasisi ya kupeleleza makosa ya jinai ambayo yanashindwa kushughulikiwa kisheria.
Both of them are beautiful and independent ladies, and considerably wealthy, according to their respective backgrounds.
In contrast Smilla is in Denmark while Mma Ramotswe is operating from Botswana(Mbingu na ardhi?).
Smilla is aggressive and arrogant while Precious is a humble, generous and kind African lady.
Both of them are dating mechanics but while Mma Ramotswe is docile and submissive to her man( up to a point of course) Smilla want to dominate Peter and even .... him with her clit...!(shows a bisexual trend hardly heard of in Africa).
etc,etc.
Hii series, The Ladies No 1 Detective Agency na sequels zake kama Tears of the Girrafe, Tea Time for the Traditionally Built, Blue Shoes and Happiness, The Kalahari Typing School for Men, A Cupboard Full of Life etc etc ni kichocheo cha fikra na burudani tamu sana kwa msomaji.
Lakini soma mwenyewe Paula.
(Na bookworms wengine of course).
Ciao Paula.
Take care.
The Monk, mwanafunzi wangu, nashukuru sana kwa cheo ulichonipa.Professor nashukuru huu uzi umenifanya nikirudie kwa hasira kitabu cha The Seven Habits of Highly Effective People. Nilishakinunua mara mbili nikianza kusoma, anatokea mtu anakiazima safari hii nimekipata hakitoki asilani hadi nikimalize.
Je naweza kipata online? kama unacho nitumie•Purpose driven life by Rick Warren kipo pia version ya kiswahili.(maisha yanayoongozwa na malengo)
•The holly spirit and his gifts by Kenneth E Hagin.A great spiritual book
Purple hibiscus by chimmanda ngozi adichie
Half of yellow sun by chimmanda ngozi adichie
Americanah by chimmanda ngozi adichie
The thing around your neck by chimmanda ngozi adichie
Things fall apart by chinua Achebe
Gifted hands ben Carson
Songs of lawino and ocol
Who Will cry when you die
Napenda Sana vitabu ambavyo authors wake ni waafrica, you can relate and learn at the same time my favorite authors so far ni chinua Achebe na chimmanda ngozi adichie.
dah kweli mkuu yan unakuta mtu ananyoosha ngeli kama hajawahi kuishi bongo.C class girl. Kwanza tuanzie hapa we ni diaspora au mzungu au mtanzania?
Anyway wekeni na pdf za vitabu itusaidie na wengine
The Monk, mwanafunzi wangu, nashukuru sana kwa cheo ulichonipa.
Nafurahi pia kusikia huu uzi umekuwa na positive results kwako.
Ni kizuri hiko kitabu ?
Mkuu ingia www.pdfdrive.com utapata vitabu vingi tu.Je naweza kipata online? kama unacho nitumie
I did read the book.Kwako kinaweza kisiwe na manufaa makubwa sana ila kwa sie watu wa shake well before use, kizuri.
It's all about Character. Sio mbaya ukipata muda macho yakapita tu juu juu hautakosa chochote.
Barikiwa professor
I did read the book.
Ni miongoni mwa vitabu ambavyo ni muhimu sana kuvisoma. Na ndipo nilipojifunza ku-note kila nilichokifanya kwa siku ili nione nimepoteza muda gani kwenye ujinga, The Monk.
I just can't recommend it highly enough kwa ambao bado.
Naombeni mwenye soft copy ya hiki kitabu plz"The economics of money banking and financial markets"author ni Frederick mishkinMkuu ingia www.pdfdrive.com utapata vitabu vingi tu.