The Question of Aptitude VS AttitudeAmong the best books nimesoma kuhusu emotional intelligence kitafteni kitawasaidia sana maana success in business and relationships depend much on emotional intelligence.View attachment 1455281
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nikiwa Secondary nilipata shida ya Lugha. kwa hasira nilisoma vitabu 5 vyote na kuvielewa vizuri, ikiwemo Advanced English Dictionary. nilichomoka kama moto wa mshale na nikategemewa na kuaminiwa kwa mengi shuleni na kazini km Ward/ Morning presentations, Project activities. Speech presentattion, mpaka nikajistukia, sasa kuna mtu amesoma vitabu 200! duuu!Pilipili usioila inakuwashia nini?
Umenipeleka mbali sana. Thank you.Chicken Soup for the Soul (The Series)
Unaangaliaga movies? Tv series?Wacheni utani bana nyie ! mijivitabu yooote hiii! uisome uilewe? kazi utafanya saa ngapi?
Here,mwenye soft copy ya A Matter of Honor cha Jeffrey Archer,naomba tafadhali.Nilikuwa na hard copy,kikapotea kimaajabu kabisa.
Pole sana, kutumia simu kwenye kusoma ni changamoto bora Kindle. Jaribu kununua Kindle ipo vizuri kuliko simu.A
Asante sana mkuu.
The secret ya rhonda naenda nayo taratibu,iko vizuri nazidi kuona utamu,tatizo nasoma kwa simu sina hardcopy yake napata uvivu sana.
Kindle unakusudia nini mkuu ?Pole sana, kutumia simu kwenye kusoma ni changamoto bora Kindle. Jaribu kununua Kindle ipo vizuri kuliko simu.
Kama unahisi neno limebeba maana nzima ya kinachoongelewa ni muhimu kuju maana yake. Hauna haja ya kukaa na dictionary.Kindle unakusudia nini mkuu ?
Alafu mimi kingereza sijawa mbobezi japokuwa naelewa maudhui ila kuna maneno ambayo siyaelewi,je niyawache tu maadamu ibara nzima naielewa au nikae na dictionary pembeni kuangalia kila neno geni ?
Ipi namna sahihi ya kuongeza maneno kwa sisi vichanga wa lugha ?
Natanguliza shukran kwako miss paula paula,natarajia kukualika ftari hata kama haujafunga..
Shukran sana mkuu.Kama unahisi neno limebeba maana nzima ya kinachoongelewa ni muhimu kuju maana yake. Hauna haja ya kukaa na dictionary.
Kwakua unatumia simu tumia Epub Reader .Hii ni app ya kusomea.
Hii ukiwa unasoma neno likiwa geni kwako unafanya kama unali "highlight " kisha dictionaries zilizopo kwenye simu yako zitakupatia jibu. Na pia ukitaka kujua namna linavyotamkwa kuna option pia.
Ukisoma kitabu pages 5 za mwanzo na maneno magumu ukiyaangalia kwenye dictionaries, baada ya hapo utakuwa ume-master kila kitu.
Asante kwa kushukuru. Nitafurahi sana ukinialika. Nasubiri mwaliko wako Safuher.
Kuhusu kindle nakusudia kitu kama hichi. Vinapatikana amazon. Haviumizi macho.
Ni maalumu kwa kusomea vitabu tuu.Shukran sana mkuu.
Nitakualika tu.
Hizi kindle bei zake zikoje mkuu?
Ni maalumu kwa kusomea vitabu tu na je unadownload vitabu ama ?
Zaidi nitatafuta mtandaoni.
Asante sana.
Samahani mkuu na bei vipiNi maalumu kwa kusomea vitabu tuu.
Vina audio pia, ukitaka kusoma kwa audiobook.
Vitabu unanunua Amazon ila unaweza kuvi-download kwenye computer yako halafu ukatumia USB wire kuingiza kwenye Kindle.
Naona kwa TZS ni hiyo.Samahani mkuu na bei vipi
Huko amazon pia inakuwa unanunua online yaani softcopy ama hardcopy ?
Shukran sana mkuu.Naona kwa TZS ni hiyo.
Ni Softcopy maana utakisomea kwenye hiyo.View attachment 1456150
kama unataka kitabu chochote duniani kasoro tanzania niambie sasa hvi kabla sijaenda offline cha kununua or whatever nambie nkitafute ntakusaidia
ofa ni ya masaa matatu toka sasa
Mkulima wa mahindi
Developing a Healthy Mind: A Practical Guide for Any Situationkama unataka kitabu chochote duniani kasoro tanzania niambie sasa hvi kabla sijaenda offline cha kununua or whatever nambie nkitafute ntakusaidia
ofa ni ya masaa matatu toka sasa
Mkulima wa mahindi