Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

You are so lucky umesoma kitabu kwa mara ya kwanza na kukipenda Safuher.

Vipo vingi vizuri zaidi na zaidi. Karibu katika huu ulimwengu wa vitabu utajionea.
Asante sana.

Kuna hardcopy moja ninayo kitabu kinaenda kwa jina la "the way of the peaceful warrior"

Nilinunua maeneo ya mnazi mmoja dares salaam kama 2000 hivi,sijakisoma sasa hivi ni mwezi mmoja umepita.

Sijui ni kizuri hiki kitabu ?

Alafu pia nimegundua kuwa the secret katumia lugha laini ambayo hta sisi wabovu wa lugha tunaweza kupapasia kuelewa maudhui...
 
Hicho ni cha "self help " sio? Sina kumbukumbu kama nimewahi kukisoma.

Kinachofanya kitabu kuwa na lugha ngumu ni "technical terms ". Kwa mfano vitabu kuhusu sheria kuna maneno ya kisheria ambayo lazima yatumike. Kama wewe haujasoma sheria basi ni ngumu kuyaelewa hadi utumie dictionary.

Pia vitabu vya biashara vinatumia lugha ya biashara nk.

Lakini hivi aina ya The Secret havina lugha ngumu kwa sababu wanatumia hii lugha ambayo tunaizungumza kila siku kila wakati. Nadhani hii ni sababu.
 

 
Natumia app ya any book...cjaingia mda Leo nmeingia wanasema inabidi nilipie 16,000 ndio niweze kupata huduma!
Nalipiaje? Naombeni msaada
Depal niliona unatumia hii "Any books " kama sijakosea. Korino anaomba msaada.
 
Hii ni The Bad Beginning?

Ndiyo Paula.

Ni vitabu vya watoto lakini mkwara aliouweka huyo mwandishi kwenye muhitasari ulinivutia kuvisoma.

Nimeweka hiyo nukuu ya mwanzoni kukubaliana nawe kuhusu ugumu wa kusoma vitabu vya sheria au fani yoyote ambayo si familiar kwa msomaji.

Hata hivyo, msomaji akivutiwa na kitu fulani anaweza kupata anachotaka kutoka vitabu vya fani yoyote ile.

Mfano, hao yatima wa Baudelaire walilazimika kusoma vitabu vya sheria na kupata vifungu vilivyowasaidia kuulinda urithi wao usiporwe na Count Olaf.

Nisaidie kupata kitabu cha tatu kwenye hii series Paula. Nadhani title yake yaweza kuwa Zombies in The Snow.

Cheers.
 

Yeah, anasema kama unataka kusoma kitabu cha ku-enjoy basi hiko kitabu si sahihi. Kimejaa machungu.

Kitabu cha tatu ni The Wide Window. Hamna Zombie in The Snow kwenye hizi series kabisa.

Zombie in the snow ni movie ambayo imechezwa kufuatia hadithi ya The Reptile Room Nownmai.
 
Here, have this.
 

Attachments

Thank you dear.
How can you rest easy, knowing that they are filled with bad luck and misery?

1. I think the highest tribute one could pay to the Baudelaire orphans is to read their story to the end regardless of whether it is good or bad ending.

2. I have a suspicion that Mr
Lemony Snicket is trying to control the mind of his readers.
I choose to defy him by reading his books to completion though he is the winner whichever choice the reader makes.

3. Lastly, I ‘ve always had this urge to finish anything I start whether it is a book, a course, an adventure, a romance or whatever. Real or fantasy!

If Book the Third is not the last part, I am afraid I will have to keep on seeking for the sequels. I hope I can count on you to help me in that quest.

Thank you once more Paula for allowing me to have a glance at your world.
 
Best Book....
 
Anhaaa mkuu sasa nimeelewa kwa nini kuna ugumu flani.

Sasa je njia ya kuangalia dictionary itasaidia au itabidi mtu uwe na ujuzi wa cozi hizo ambazo misamiati hutolewa humo mkuu ?

Nimeimaliza the secret,sasa nimeianza the magic na sasa nipo day three.mambo ni mazuri sana aisee,nataka nijionee hii the power of gratitude..
 
Naomba softy copy ya investment book napenda vitabu vya investment.
 
Thank you Nownmai and you are welcome.
Vipo 13 bila shaka nitakuwekea hapa.
 
Ukisoma vitabu utapata ujuzi wa fani ambazo hata haujazisomea. Wewe soma tuu utajionea.

Hongera sana Safuher.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…