safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Asante sana.You are so lucky umesoma kitabu kwa mara ya kwanza na kukipenda Safuher.
Vipo vingi vizuri zaidi na zaidi. Karibu katika huu ulimwengu wa vitabu utajionea.
Kuna hardcopy moja ninayo kitabu kinaenda kwa jina la "the way of the peaceful warrior"
Nilinunua maeneo ya mnazi mmoja dares salaam kama 2000 hivi,sijakisoma sasa hivi ni mwezi mmoja umepita.
Sijui ni kizuri hiki kitabu ?
Alafu pia nimegundua kuwa the secret katumia lugha laini ambayo hta sisi wabovu wa lugha tunaweza kupapasia kuelewa maudhui...