Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

My favourite In The Realm of Hungry Ghost by Dr Gabor Mate..... I was deep in my addictionby that time.. . It helped me conquer my adiction.....
Ongeza na Discpline equals freedom by jembe Jocko willink

Kwa sasa nasoma hivyo
 
Attachments

  • Screenshot_20191114-183301.png
    Screenshot_20191114-183301.png
    54.2 KB · Views: 44
My favourite In The Realm of Hungry Ghost by Dr Gabor Mate..... I was deep in my addictionby that time.. . It helped me conquer my adiction.....
Ongeza na Discpline equals freedom by jembe Jocko willink

Kwa sasa nasoma hivyo
Samahani kwa kuwa nje ya mada husika.
Ni app gani hii unatumia boss?
 
[emoji3][emoji3][emoji3] usijari bhna changamoto ndogo ndogo za lugha ntajitahidi nizivumilie [emoji3][emoji3][emoji3]
Ukikwama kwenye lugha nishtue[emoji13][emoji13][emoji13] nimemeza dictionary kichwani.
Ukimaliza hicho nitakushauri kingine cha kusoma chenye page chache na kinachovutia.
Pia niruhusu niwe nakukumbusha kusoma kitabu kila siku ili ukimalize kwa wakati.
 
Why nation fail
Bring out the magic in your mind written by Al Qoran
Who will cry when you die by Robin Sharma
Mkuu huyu Ali si alikufundisha kufanya mazingaombwe kabisa. Maana maandishi yake yanafanya hiyo kaz iwe rahis kabisa!
 
The other side of me a memoir by Sidney sheldon.
Baba yake alipomkuta anataka kujinyonga akiwa mdogo tu wa miaka ishirini hivi,anamuuliza,
Why do you want to close your chapters so early? Do you know how many interesting chapters are left? Do you want this to be the end of your book?
He ended up being the best seller!
 
Back
Top Bottom