Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Hii imechezwa movie pia? Ya mkaka mmoja alisingiziwa kesi akafungwa halafu akawa anafanya mipango ya kutoroka na rafiki yake inafeli mwisho wa siku inabidi rrafiki yake amsaidie atoroke mwenyewe yeye abaki?
Story ndio ipo kwenye hiki kitabu?.

Sahihi kabisa, kitabu hiki movie nyingi zimechezwa kwa kutumia story hii ya jamaa.
Bahati nzuri pia ktk YouTube kuna movie zake kamili kwa wale watakaotaka kuliganisha kama director wa movie wametenda haki au la ktk kuiweka story hii katika big screen.

Papillon moja ya vitabu vinavyoweza kuteka hisia ya msomaji na ukawa mguu kwa mguu na mhusika mkuu ktk mazingira yote anayopitia. WanaJF wapenzi wa vitabu mnaweza kukipa muda mkakisoma na kujifunza mengi ya dunia hii.
 
I think you missed a point.
Atheist sio wakana Mungu, it's just they don't believe in existence of God na sio Mungu tuu, hawaamini hata uwepo wa shetani.

Kwanini unaona hawana akili? Ni nini ulichokisoma humo kinadhibitisha uwepo wa Mungu au shetani?

Mimi sio Atheist, ila my Significant Other na familia yake yote ni Atheists.Na sioni tatizo.
Huyo jamaa ni flat earther fulani hivi.
Alishawahi kubishia number theory kwa kutumia division by zero.

He should call himself Zero.

Hopeless case.
 
Huyo jamaa ni flat earther fulani hivi.
Alishawahi kubishia number theory kwa kutumia division by zero.

He should call himself Zero.

Hopeless case.
hiki kitabu nacho kinanikeraga.
Screenshot_20191115-121058.jpeg
 
Sahihi kabisa, kitabu hiki movie nyingi zimechezwa kwa kutumia story hii ya jamaa.
Bahati nzuri pia ktk YouTube kuna movie zake kamili kwa wale watakaotaka kuliganisha kama director wa movie wametenda haki au la ktk kuiweka story hii katika big screen.

Papillon moja ya vitabu vinavyoweza kuteka hisia ya msomaji na ukawa mguu kwa mguu na mhusika mkuu ktk mazingira yote anayopitia. WanaJF wapenzi wa vitabu mnaweza kukipa muda mkakisoma na kujifunza mengi ya dunia hii.
Kama story ni ile ile nimeshawishika kukisoma.
 
I think you missed a point.
Atheist sio wakana Mungu, it's just they don't believe in existence of God na sio Mungu tuu, hawaamini hata uwepo wa shetani
Kutokuamini ni kuthibitisha au kukanusha ? Imani ina mambo matatu,jambo ambalo wengi hawalijui.

Unapokataa kuamini uwepo wa Mungu basi umekataa yale yote yanayohusiana na Mungu na huko ndio kukanusha. Hapa wewe ndio umechanganya.

Naendelea...
 
Mkuu hii iBooks ni nini na ninaipataje?
Huwa mnapenda kusoma kwa mfumo gani?.
Hardcopy/cover or soft copy?

For me nasoma softcopy mostly inasaidia kutunza vitabu vingi..portability na kuwa flexible etc
Hardcopy labda tu nikose soft yake

iBooks is the best

kwa mnaotumia tablet na kindle zipoje?.sijawahi jaribu hizo
 
Kwanini unaona hawana akili? Ni nini ulichokisoma humo kinadhibitisha uwepo wa Mungu au shetani?

Vifuatavyo ni vitu vilivyonijulisha kwamba Mola yupo.
1. Akili 2. Hawasi 3. Ufunuo

Unakubali Mola yupo na Shetani yupo ? Unajuaje uwepo wa kitu fulani kama kipo ?
 
Ulishakisoma au na wewe ndio umepata tangazo la bure?
Wewe hata ukijamba ushuzi utataka kuuita tangazo la bure.

Nilikisoma kilipotoka na ninacho kwenye library yangu.

Si hicho tu. Nimesoma pia "Hitch 22" na "Arguably" vya Christopher Hitchen.

Most people fear what they don't understand. You come across as being in that category.

Somebody wrote.

What we don't understand, we fear.
What we fear, we judge as evil.
What we judge as evil, we attempt to control.
And what we cannot control, we attack.

Wewe unezunguka kote huko umeshindwa ku control narrative hii. Mwenzako kaandika vitabu kauza mamilioni.

Umeishia ku attack.
 
Huyo jamaa ni flat earther fulani hivi.
Alishawahi kubishia number theory kwa kutumia division by zero.

He should call himself Zero.

Hopeless case.
Anasahau kwamba he became a believer because he was convinced by others to do so. Na siku akitambua all the stories told by religion are obviously fiction, he'll learn not to believe in anything for which there is no evidence.

My an Atheist friend once told me,"if you showed me the evidence, I would believe in the God". Truthfully ,There is literally no proof than what we call "myths ".

Kusema kweli kuna muda Mimi mwenyewe naona religions are just a way to brainwash mass of people. Acha tuone.
 
Kutokuamini ni kuthibitisha au kukanusha ? Imani ina mambo matatu,jambo ambalo wengi hawalijui.

Unapokataa kuamini uwepo wa Mungu basi umekataa yale yote yanayohusiana na Mungu na huko ndio kukanusha. Hapa wewe ndio umechanganya.

Naendelea...
Endelea kusoma vitabu utajifunza mengi.
Pia usisome tuu ambavo vinatetea unachoamini, soma ambavyo pia vipo kinyume na unachoamini.
 
Kama huoni tatizo wewe ndio tatizo lenyewe.

Tujikite kwenye mada. Uzi wako mzuri sana.
Unajua ukashindwa kumshawishi mtu kitu Fulani kipo, hauwezi ona ana tatizo kwa kutokuamini,baada ya kumdhibitishia kipo na asipoamini hapo ndio unaweza ona anatatizo. Ndio maana Mimi sioni tatizo mtu kuw Atheist.
 
Anasahau kwamba he became a believer because he was convinced by others to do so. Na siku akitambua all the stories told by religion are obviously fiction, he'll learn not to believe in anything for which there is no evidence.

My an Atheist friend once told me,"if you showed me the evidence, I would believe in the God". Truthfully ,There is literally no proof than what we call "myths ".

Kusema kweli kuna muda Mimi mwenyewe naona religions are just a way to brainwash mass of people. Acha tuone.
Every proof on existence of God are out there, including yourself. Do you think just a cell from nowhere inaweza kujitengeneza ikawa kiumbe mwenye akili kama binadamu au nyani abadilike na kuwa mtu. Ever you tried to imagine the solar system and the whole of the galaxies. Where are those powers tied, including the powers that restrict the ocean to overrun the dry land!
 
Endelea kusoma vitabu utajifunza mengi.
Pia usisome tuu ambavo vinatetea unachoamini, soma ambavyo pia vipo kinyume na unachoamini.
Kwanini unataka nisome ambavyo viko kinyume wakati ukweli uko wazi na misingi ya hao ambao wako kinyume tunaijua ?

Mathalani misingi ya Wakana Mungu inajulikana,na kusoma vitabu vyao ni kupoteza muda. Unakuta mtu anamjadili Mola wakati hamjui,huku ni kutumia akili vibaya.

Wakana Mungu wakawaida wanaamini ya kuwa Akili ndi kila kitu,na Wakana Mungu wa Kisayansi wanaamini Akili na majaribio ya Kisayansi ndio kila kitu,huku nikujidanganya kwani viwili hivyo sio timilifu na vinahitaji msaada ili kuwa timilifu.
 
Back
Top Bottom