Hii imechezwa movie pia? Ya mkaka mmoja alisingiziwa kesi akafungwa halafu akawa anafanya mipango ya kutoroka na rafiki yake inafeli mwisho wa siku inabidi rrafiki yake amsaidie atoroke mwenyewe yeye abaki?
Story ndio ipo kwenye hiki kitabu?.
Sahihi kabisa, kitabu hiki movie nyingi zimechezwa kwa kutumia story hii ya jamaa.
Bahati nzuri pia ktk YouTube kuna movie zake kamili kwa wale watakaotaka kuliganisha kama director wa movie wametenda haki au la ktk kuiweka story hii katika big screen.
Papillon moja ya vitabu vinavyoweza kuteka hisia ya msomaji na ukawa mguu kwa mguu na mhusika mkuu ktk mazingira yote anayopitia. WanaJF wapenzi wa vitabu mnaweza kukipa muda mkakisoma na kujifunza mengi ya dunia hii.