Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hahaha, you are far too kind.Wewe nakufananisha na JS Mills, nasikia kabla hujafikisha miaka 17,
ulikuwa ushasoma vitabu vyote karibu mia vya JH Bond, series zote za Harry Potter, umeshameza Oxford dictionary na kumaliza kitabu chote cha Philosophy of religion, an anthology, na umeshashinda na tuzo ya pulizer prize(not sure the name of the prize)
Siju hizo hata Harry Potter hakuna.
Kitabu kimoja cha Aristabkus Elvis Musiba cha Njama kinazunguka mtaa mzima.
Anayekuazima anakuazima leo, anataka umrudishie kesho.
Inabidi ujue kusoma kitabu kimoja kwa siku utake usitake.
Kuna mchizi wangu alirudi likizo kutoka college US akaniketea "The Philosophy of Religion : An Anthology".
Hapo kabla JF, Youngafricans.com wala Nyenzi.com, ikikuwa kama 1996.
Nikakisoma, nikaona mengi sana ambayo sikuyaelewa yameelezewa vizuri.
Nikawa Kiranga.