Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Wewe nakufananisha na JS Mills, nasikia kabla hujafikisha miaka 17,

ulikuwa ushasoma vitabu vyote karibu mia vya JH Bond, series zote za Harry Potter, umeshameza Oxford dictionary na kumaliza kitabu chote cha Philosophy of religion, an anthology, na umeshashinda na tuzo ya pulizer prize(not sure the name of the prize)
Hahaha, you are far too kind.

Siju hizo hata Harry Potter hakuna.

Kitabu kimoja cha Aristabkus Elvis Musiba cha Njama kinazunguka mtaa mzima.

Anayekuazima anakuazima leo, anataka umrudishie kesho.

Inabidi ujue kusoma kitabu kimoja kwa siku utake usitake.

Kuna mchizi wangu alirudi likizo kutoka college US akaniketea "The Philosophy of Religion : An Anthology".

Hapo kabla JF, Youngafricans.com wala Nyenzi.com, ikikuwa kama 1996.

Nikakisoma, nikaona mengi sana ambayo sikuyaelewa yameelezewa vizuri.

Nikawa Kiranga.
 
Ili uwe mbishi si lazima uwe haupo sahihi kwa unachokiandika. Kitendo tuu cha kuargue uwe right or wrong ni ubishi.
Hii maana mpya ya Ubishi sijawahi kuiona hapo kabla. Bila shaka ubishi ni sifa mbaya.

Naomba sasa msaada toka kwako,sababu huu uzi ni wa vitabu na usomaji,naomba unitajie kitabu ambacho kwacho naweza kuipata hii maana ya Ubishi.
 
1.Cryptonomicon by Neal Stephenson
2.NightFall by L.J Smith
3.Killosophy by Criss Jami
4.The letter Of The God of Love by Christine de Pizan.
5.The Indigo spell By Richelle Mead
6.Encounter by Milan Kundera
7.Siage and Storm by Leigh Bardugo
8.Mastery Through Accomplishment By Harzat Inayat Khan

Vinatosha? Vyote utajifunza juu ya ubishi na ubishi ni nini.
 
Mimi napenda kusoma Hardcopy. Inanifanya niwe comfortable kusoma kitabu changu sehemu yoyote, mgahawani, beach, safarini nk.
Soft copy inanipa shida ya macho na kushindwa pia ku concentrate. Nilijaribu softcopy nilijikuta kitabu nakisoma mwezi mzima ambacho ni kitabu cha masaa manne au matano ukiwa safarini.
Na kweli kila kitu kina faida na hasara
 
Mi nasoma vile nilivokusanya kutoka humu. Naomba mwenye kitabu chochote cha Fyodor Dotsoevsky,Leon Tolstoy au Alexander Pushkin aweke hapa. Nitashukuru sana
 
1.Cryptonomicon by Neal Stephenson
2.NightFall by L.J Smith
3.Killosophy by Criss Jami
4.The letter Of The God of Love by Christine de Pizan.
5.The Indigo spell By Richelle Mead
6.Encounter by Milan Kundera
7.Siage and Storm by Leigh Bardugo
8.Mastery Through Accomplishment By Harzat Inayat Khan

Vinatosha? Vyote utajifunza juu ya ubishi na ubishi ni nini.
Umeelewa swali langu ? Naona umeweka vitabu vingi bila kukita kwenye lengo.

Inaonekana bibie hujui pakupata maana ya maneno.

Soma hapa :
Screenshot_20191115-213523.png
 
Umeelewa swali langu ? Naona umeweka vitabu vingi bila kukita kwenye lengo.

Inaonekana bibie hujui pakupata maana ya maneno.

Soma hapa :View attachment 1263974
Ulichoniambia ni kwamba , kwa kuwa Uzi unahusu mambo ya vitabu, nikuwekee kitabu utakachopata maana ya ubishi?
Au wewe ndio haujaelewa ulichoandika?
Nimekuwekea vya kutosha ambavyo ukisoma utaelewa maana ya ubishi.
Ungesema kwamba nikuletee screenshot ya kamusi yenye definition ya Ubishi ungesema. Nilidhani ulikuwa unataka kusoma kwa upana kumbe ni tafsiri tuu ulikuwa unataka[emoji13][emoji13][emoji13]sasa mbona umeniuliza kuhusu kitabu?
 
Sasa hili tatizo,ndio maana nikaamua kukusaidia kwa kukuwekea maana ya tamko Ubishi. Niliona hujajibu nilicho kuuliza kama nilivyodokeza hapo juu.

Kwahiyo ituhumu na kuilaumu akili yako. Nilikutaka unipe maana ya tamko ubishi kwa kurejea kwenye kitabu.

Kwahiyo hata wewe ungeweza ku "screenshot" maana ya ubishi kutoka kwenye hivyo vitabu ili tusome. Nilichotaka ni unipe maana ya ubishi tu.
 
Not today. Ubishi siwezi.
Goodnight.
 
Naomba sasa msaada toka kwako,sababu huu uzi ni wa vitabu na usomaji,naomba unitajie kitabu ambacho kwacho naweza kuipata hii maana ya Ubishi.

Usiwe unapenda kubisha hata vitu ulivoandika mwenyewe.
Uliniambia nikutajie na sio nikufanyie screenshot.
Siku nyingine kuwa specific ueleweke.
Haya bye
 
Usiwe unapenda kubisha hata vitu ulivoandika mwenyewe.
Uliniambia nikutajie na sio nikufanyie screenshot.
Siku nyingine kuwa specific ueleweke.
Haya bye
Uko sahihi kabisa. Ila unakumbuka ulichokiri hivi punde ? Kwa maana hata ulichokinukuu kuwa jibu ila si kwa swali nililo kuuliza,kwamba ukaja kukua ya kuwa nilichokuwa nakitaka ni maana na si maelezo baada ya kusoma hivyo vitabu.

Mwisho nikakusaidia,maana ya ubishi.

Tuko pamoja bibie.
 
Back
Top Bottom