Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Basi kuna kitabu nilisoma kikaandika kuwa democrasia haiwezi kufaa kwenye hali zote, huwezi kuwa na mbwa mwitu wawili na kondoo mmoja harafu ukasema wapige kura nani awe dinner!!. Mwaka huu nimesoma mwingine anasema kitu kama hicho, demokrasi ainaweza sababisha "tyranny of the majority". Nimeanza kuquestion demokrasia tunayoiamini sana, nikadownload kitabu Democracy,The God that failed by Hans hoppe, bado nakisoma ila huyu anaenda mbali hadi kusema kuwa kutoka kwenye monarchy kuja kwenye democracy ni kurudi nyuma kwa civilization. Hiki cha Dumbisa nafikiri nacho kitakuwa poa kwenye hii ishu.
 
Bro, democracy is an illusion. Huwezi kuwa na majority ya watu ambao ni ignorance, poor, uneducated halafu ndio wawe wanatoa maamuzi ya kiungozi[kisiasa].
 
Basi kuna kitabu nilisoma kikaandika kuwa democrasia haiwezi kufaa kwenye hali zote, huwezi kuwa na mbwa mwitu wawili na kondoo mmoja harafu ukasema wapige kura nani awe dinner!!. Mwaka huu nimesoma mwingine anasema kitu kama hicho, demokrasi ainaweza sababisha "tyranny of the majority". Nimeanza kuquestion demokrasia tunayoiamini sana, nikadownload kitabu Democracy,The God that failed by Hans hoppe, bado nakisoma ila huyu anaenda mbali hadi kusema kuwa kutoka kwenye monarchy kuja kwenye democracy ni kurudi nyuma kwa civilization. Hiki cha Dumbisa nafikiri nacho kitakuwa poa kwenye hii ishu.
Mkuu Liberal International Order ndiyo imevuruga democracy duniani. Lakini binafsi naamini democracy ndiyo mfumo bora kabisa wa mwanadamu kuwahi undwa.
 
mkuu mbona naona kama hilo ni zao la demokrasia?! Na nimeona hapo juu umeweka kitabu kuhusu shida ya political correctness, Siyo democrasia ikikomaa ndiyo huleta hayo?.
 
Mkuu Liberal International Order ndiyo imevuruga democracy duniani. Lakini binafsi naamini democracy ndiyo mfumo bora kabisa wa mwanadamu kuwahi undwa.
Ila nami naamini kuwa ukilinganisha na alternatives zingine democracy ni bora, ila siyo universal. Nawaza kuna siku watu wataiangalia kama tunavyoangalia na kushangaa feudalism
 
fired-refused-to-go-to-bible-study.jpg
41WIbflfG2L._SX323_BO1,204,203,200_.jpg
71SqvmjaM3L.jpg
images (1).jpeg
12605157.jpg
images.jpeg
download.jpeg
 
Attachments

I bought this a couple of weeks ago, I haven't had the time to go through it.

Is it any good?
Maaan, Maaan It's extremely good. Jamaa anajua kusimulia hadi utafurahi. And its shows how much of the world have underestimated the intelligence reach of Uncle Sam. I recommend you read it....
 
A tour de force from Mr. Meredith.

I enjoyed it thoroughly.
Noma sana huyu Mzee, kuna kimoja cha amemzungumzia Mugabe, mzee kafunguka anaeleze jinsi walivyofanya mambo ya ajabu kule Congo DRC wakati wa Kabila. Kafunguka na kuonesha hadi huyu Raisi wa sasa Munangagwa alivyohusika na kuratibu mkakati wa wizi wa mali za Congo ambazo UN ilisema ni USD 5 Billion. Ametisha sanaa
 
Usijari. Hii site ilinifanya nipunguze kabisa ununuzi wa vitabu!

Huwa nawafanyia Donation ya dola 5, kila mwezi. Maana, thamani ninayoipata humo ni hailinganishwi.

Mkuu lakini pia hawa jamaa si pirates Mimi pia nawatumia sana, hii inafanya ile list yako kuwa bora zaidi vitabu vya huku kwenye uhalisia wa Maisha ya kila siku [emoji120]
 
Attachments

Back
Top Bottom