Basi kuna kitabu nilisoma kikaandika kuwa democrasia haiwezi kufaa kwenye hali zote, huwezi kuwa na mbwa mwitu wawili na kondoo mmoja harafu ukasema wapige kura nani awe dinner!!. Mwaka huu nimesoma mwingine anasema kitu kama hicho, demokrasi ainaweza sababisha "tyranny of the majority". Nimeanza kuquestion demokrasia tunayoiamini sana, nikadownload kitabu Democracy,The God that failed by Hans hoppe, bado nakisoma ila huyu anaenda mbali hadi kusema kuwa kutoka kwenye monarchy kuja kwenye democracy ni kurudi nyuma kwa civilization. Hiki cha Dumbisa nafikiri nacho kitakuwa poa kwenye hii ishu.