Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
- #1,061
Vile nilikuwa nasubiri unielekeze mahali pakukipata huku.Hiki kilikuwa out of print. Wadogo zangu walikuwa wanakuja kunitembelea kutoka Tanzania nikawaagiza. Wakapiga simu wakaambiwa kuna batch mpya inakuwa printed, wakaweka order ndiyo wakapata hiki, wakaniletea.
Mtafute mtu anaitwa Mkuki Bgoya wa Mkuki na Nyota, yeye ndiye Publisher, ataweza kukuuzia a copy kama vipo bado, ama kukuwekea order vikitoka reprint.
Vinanunuliwa sana inaonekana watu wanataka kumsoma Mkapa maisha yake.
Asante Kiranga kwa maelekezo, mwezi wa pili nitaenda nitakifuatilia nikipate.