Na baada ya kukitaja amecheka sana.
Yawezekana kuna kitu kwenye hicho kitabu kinaendana na majibu aliyokuwa anayajibu au kwa kipindi hiko hicho kitabu kilikuwa kinavuma "kwa kitu fulani ".
Umekisoma hiki kitabu Kiranga?
Nimekisoma mwaka 1996 wakati 2Pac alipokitaja kwenye album yake ya Makaveli.
Ukiwa umemsoma Machiavelli, presumably kitabu chake maarufu kabisa "The Prince", utaelewa kwa nini Mwalimu Nyerere alikuwa anacheka, na utahoji kama kweli alikuwa anasoma Machiavelli hapo. Ni kama vile kataja jibu la utani ili asitaje alikuwa anasoma kitabu gani.
That in itself is Machiavellian!
"The Prince" cha Machiavelli ni kitabu kikichoandikwa mwaka 1513 kinachoelezea namna ambavyo mtawala anaweza kutawala vizuri, na jinsi gani mtawala aamue kutawala, atafute kupendwa au kuogopwa? Do the ends always justify the means or should one care about the means just as the end?
The work is so influential it gave us the adjective "Machiavellian".
It is a seminal work in political philosophy. Nyerere nafikiri alikuwa kashakisoma hapo alifanya utani tu.
Kuhusu kwamba kama kuna kitu kwenye hicho kitabu kinaendana na majibu yake, hapo alikuwa ametoka kuongelea Nehru na jinsi gani Nehru alivyomwambia "take what you can get" kwenye negotiatiins za uhuru, ushauri huo uko right in line na Machiavellian politics.
Machiavellian politics is about realpolitik rather than overly princioled politics. Nehru alimwambia Nyerere, ukipata utawala wa ndani kabla ya uhuru kamili, (kama tulivyooata mwaka 1960 na Nyerere kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Tanganyika) chukua tu. Half a bread is better than nothing. Usikatae madaraka ya ndani kwa sababu hujapewa uhuru kamili unaoutaka.
That advise from Nehru, and the interview question and answer, ties very well with Machiavelli, perhaps that is why Nyerere was laughing so much in tying up the interview with that grand theme..
Sent from my typewriter using Tapatalk