MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Nakukubali sana bro, my intentions were pure.Shukrani bro, ila siyo powa ulichotaka kunifanyia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakukubali sana bro, my intentions were pure.Shukrani bro, ila siyo powa ulichotaka kunifanyia.
Nakukubali sana bro, my intentions were pure.
Ushawahi kumsikia Abu Yusuf Al-Kindi wa Baghdad ??? Alikuwa ni msomi mkubwa aliyasaidia kuimarisha
Vipi kuhusu itikadi yake ? Je ilisalimika ? Kwa maana alikuwa anaamini nini kuhusu uwepo wa Mola ? Kuhusu chanzo cha uhai ? Kuhusu sifa za Mola muumba ?Yeye alisoma vyote hivi na mpaka leo hii anasifikia kwa mchango wake mkubwa kwenye taaluma ya ujasusi hasa kwa kuanzisha vitu kama Cryptography, Coding and Code Breaking na Ciphers.
Kiujumla alisomea Falsafa ya Kiislamu na Falsafa ya Kigiriki hasahasa Aristotelianism. Huyu unamuweka kwenye kundi gani ?
Bro wewe ni mstaarabu sana ndiyo maana mpaka sasa hujashusha boko lolote lile.Sijawahi kuwa na wasiwasi na intentions zako, ila kunishtukiza hivyo siyo powa. Maana ningeweza kutoa boko ikawa so, nikaanza kujitetea ooh, sikujua kama ni wewe.
Baada ya Paula Paul kuanza kuwa active, niliona kabisa pengo lako wewe na yule dada alikuwa so deep kwenye International Forum.
Bro wewe ni mstaarabu sana ndiyo maana mpaka sasa hujashusha boko lolote lile.
Huyu simfahamu, ukinipa habari zake itakuwa nzuri zaidi.
Mimi nawafahamu akina Fakhru Diin Raazi, Abul Hamiid al Ghazal, Abu Maal al Juwainiy, al Amiid ila hao wote katika masiku yao ya mwisho wa uhai wao walijutia kupoteza muda wao mwingi katika kujifunza Logic (Ilm al Kalam) na Falasifa (Philosophy).
Vipi kuhusu itikadi yake ? Je ilisalimika ? Kwa maana alikuwa anaamini nini kuhusu uwepo wa Mola ? Kuhusu chanzo cha uhai ? Kuhusu sifa za Mola muumba ?
Kwangu mimi kaka, siamini kama kuna Falsafa ya Kiislamu, sababu asili ya hao wanao itwa Wanafalsafa wa Kiislamu walitoa misingi yao kwa Aristosto na wao waliitoa kwa Sabeans, na wale Wakristo wa Damascus matokeo yao zilifisidika itikadi zao.
Unapo sema Falsafa ya Kiislamu ina tofauti gani na Falsafa ya Kimagharibi ?
I do remember Don.Hahaha, nakuelewa.
Shida yangu huwa kuna level nikifika naona kama inatosha, kuna kipindi nilikuwa na watu wanaotegemea analysis zangu kwenye vitu tofauti tofauti, nilikuwa vizuri.
Siku hizi nakuwa sitaki kutumia akili sana, kwa hiyo nakaa kwenye lines chache sana, ila sasa nimejikuta inalimit potential yangu. Hata napofanya presentations najikuta siko diversified.
At least baada ya hii thread kuna jinsi ilifanya kama kuniamsha. I told you this if you remember.
Pia nikuhakikishie kwamba Al-Kindi alisalimika sana (He was a devout muslim) na ndiye alikuwa moja ya vinara wakubwa waliolisaidia Dola la Kiislamu kuwa na nguvu ambazo lilikuwa nalo hasa kwenye taaluma ya kijeshi.
Falsafa ya Kiislamu ni ile ambayo msingi wake uko kwenye kitabu cha Quran lakini inajikita sana katika kupitia shule mbalimbali za kiislamu mfano kwenye sheria mtu akisomea sheria za Kiislamu (Muslim Jurisprudence) basi tunasema amesoma sehemu ndogo ya Falsafa ya Kiislamu.
Ndio maana huwa najiuliza pale unapo sema kuna Falsafa Kiislamu, ilhali hao Wanafalsafa waitwao wa Kiislamu wachukua misingi toka kwa Wagiriki, rejea zile "Ten Categories" (Maqulast al Ashar) za Aristoto na wao ndio wanapita humo humo.Falsafa ya Magharibi hapa naongelea ile ya Greco-Romano Philosophy (Classical Greece, Hellenic Greek and Ancient Rome) japo leo hii imekuwa pana zaidi.
Leo nitamchimba huyu mtu ili nipate kumjua uzuri.Ukipata muda mtafute Al-Kindi na umsome utajifunza mengi sana. Nikipata wasaa ntaviweka vitabu vinavyoongelea mchango wake kwenye taaluma ya Ujasusi, Hesabu na Jeshi.
kwanini Waislamu wengi wa kizazi hiki wanakuwa wanapinga sana elimu za Magharibi hasa zile za Ugiriki ya kale wakati waislamu wengi wa kipindi hicho walizisoma sana ??
I do remember Don.
Ila wewe unasema kwamba watu (pamoja na wewe,) mnaacha akili zenu nje mnaingia huku na akili ya kusoma tuu.
Kwasababu unaji-underestimate ndio maana haufiki hata robo Don. Ila mimi nauona uwezo ndani yako.
Ukijiamini tutapata wakina -Kiranga wa kutosha.
Hahaha. Hii ni spinoff ya Love in the time of Cholera.
Nilimsoma Gabriel Marquez na kitabu chake cha death foretold. He is a great story teller.
Sent using Jamii Forums mobile app
He is.
Nimesoma A Hundred Years of Solitude.
Ni kama vile msomaji unaishi katika hivyo vijiji vya Latin America enzi hizo za wababe wa kivita, bandidos na passionate love between men and women.
Ila ndugu zurri ww hua unatoa wapi maneno yote hayo.?
Mara nyingi unazungukaga sana!Maneno gani hayo kaka ? Na kwanini umeuliza swali hili ?
Huu ni utumwa. Do your best.THE 48 LAWS OF POWER by Robert Greene.
Law 1 says, "NEVER OUTSHINE THE MASTER".
Mara nyingi unazungukaga sana!
Hauendi direct kwenye point!
Nasema hivyo sababu nasomaga unachoandika!
Samahan lakin!