Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

He's one of the best kwenye hiyo field. Ni kama Chase alivyo kwenye Crime. Huwezi kumchoka hata ukisoma novels zake zaidi ya 50. Funny thing nasikia jamaa alifika US only once in his life time ila setting ya most of his novels ni US.
Chase huyo? Ndio alifika US mara moja tuu? Au Grisham?
 
Wakuu mwenye kuweka pdf ya hii book tafadhali afanye awezalo pdf ikae humuView attachment 1343532

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani mwenye hiki kitabu please nakiomba..kuna mtu hapo juu nae anakitafutaView attachment 1365396

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiki kimenifanya nifungue tena huu uzi nikitafute.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini alikifuta (sell like crazy) ninakitafuta sikipati

Sent using Jamii Forums mobile app
Hicho hapo P² amu sell like crazy
 
Wow, umeweza.
Asante Cognition, wewe umeshakisoma?
Nilisoma page chache nikaacha maana story nyingi,
Ila nilicho chukua, anaongelea jinsi ya ku-attract more customers kwa kutumia ads, Time management nayo kaizungumzia, nilikiacha kama siku 9/10, nilikichukua baada ya mtu humu kupost kama anakitafuta, nikataka nijue kina nini .
 
Nilisoma page chache nikaacha maana story nyingi,
Ila nilicho chukua, anaongelea jinsi ya ku-atract more customers kwa kutumia ads, Time management nayo kaizungumzia, nilikiacha kama siku 9/10, nilikichukua baada ya mtu humu kupost kama anakitafuta, nikataka nijue kina nini .
Wewe mvivu Cognition, yaani nusu tuu ukaacha. Kimalize tuwe ma-billionea.
 
Sawa, sijawahi kusikia hii kabisa.
Ila mtu unaweza ukawa unalijua eneo vizuri japo haujafika. Mfano wewe hapo.
Hahaha ni kweli kabisa. Niliwahi kusoma historia yake Chase inasemekana ndio hivyo alifika huko once tena kwa muda mfupi.

Mimi napenda kujua mambo bana. Nikiona mahali sipajui labda nimesoma mahali lazima nifuatilie nijue. Hata nikisoma kwenye fictional story i become intrigued to know more about the place.
 
Huko kwenye kusoma soma, kuangalia movies unajikuta unajua mitaa yote ya US, UK nk. Kama mwenyeji vile, hadi sifa za kila mtaa, na hotel kali kali za hayo maeneo.
Internet imeifanya dunia kuwa kama kijiji.
 
Yeah kuna jamaa mmjo huwa anapiga story kuhusu visiwa mbali mbali ya Caribbean kama vile ni mwenyeji wa huko kumbe ni mtu tu alivutiwa na kaunza kufuatilia hajawahi hata kutoka nje ya TZ ila akianza kukupa story za Bahamas unaweza kudhani kaishi humo miaka kibao.
 
Have you read To Kill a Mocking Bird by Harper Lee Paula Paul ? I have it ila sijakisoma na kimesifiwa sana even wanasema librarians across the US gave it the highest of honours by voting it the best novel of the 20th century.
 
Yeah kuna jamaa mmjo huwa anapiga story kuhusu visiwa mbali mbali ya Caribbean kama vile ni mwenyeji wa huko kumbe ni mtu tu alivutiwa na kaunza kufuatilia hajawahi hata kutoka nje ya TZ ila akianza kukupa story za Bahamas unaweza kudhani kaishi humo miaka kibao.
Unajua nchi hizi za wenzetu unaweza ukajua karibia kila kitu kuhusu kwao kwa kutumia mtandao tuu, na zina ripotiwa na sources tofauti tofauti ukisoma source hii ukienda hii ukienda hii, ukiona taarifa zimefanana unaweka tiki "hiyo ni uhakika".

Tofauti na Tz, taarifa nyingi hazipo mtandaoni nikimaanisha nje ya Instagram na Twitter. Yaani ukiwa nje ya Tz kupata mambo yanayoendelea TZ labda utumie Instagram na Twitter. Cha ajabu hata ukisema ufuatilie Mbuga au vivutio vya utalii haupati taarifa za kutosha. Na ndio maana leo Mtz anakuelezea Caribbean vizuri kama vile amewahi kufika lakini sio Zanzibar, sio serengeti , sio ngorongoro.
 
Ni kweli kabisa. Utamaduni wa kupenda vya wenzetu zaidi ya vyakwetu ndio shida.
 
Have you read to To Kill a Mocking Bird by Harper Lee Paula Paul ? I have it ila sijakisoma na kimesifiwa sana even wanasema librarians across the US gave it the highest of honours by voting it the best novel of the 20th century.
Hapana sijakisoma ila nimeambiwa kuhusu hicho kitabu na Mdogo wangu.
Pia ni miongoni mwa vitabu wanavosoma shuleni ndio maana hakuchoka kunisimulia how boring it was.
Ila ni kweli ni kizuri, ukiona kitu kinaingizwa kwenye mitaala ya elimu ni kizuri.

Kama utataka kukisoma tunaweza kusoma pamoja.
 
Ohh kumbe kipo kwenye mitaala. Basi nahisi nashawishika nikianze soona baada ya kumaliza A Painted House. Mimi nina paperback i hope utakuwa nacho pia.
 
Back
Top Bottom