Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Tangu mwaka umeanza nesoma vitabu kadhaa
To kill a mockingbird
The fault in our star
Everything is fucked
Ego is the enemy-Hiki nimekirudia ni kama bibilia kwangu

Mkuu, kuna kitabu kinaitwa The Fountainhead( Ayn Rand) ambapo mwandishi anadai kuwa ego ndio kisima cha maendeleo ya binadamu. Nahisi kama kutakuwa na mgongano wa mawazo kati ya Ayn Rand na mwandishi wa hicho Ego is The Enemy.

Ayn Rand-RIP(ameandika pia Atlas Shrugged) hakutokea kupendwa na wasomaji wengi kwa sababu ya falsafa yake ya objectivism, ambayo inasemekena kufuatwa na Trump na wafuasi wake.
 
Sasa hard copy ndio nzuri. Tatizo ni umeanza kuangalia ukubwa wa kitabu.
Ungetakiwa usome bila kuangalia.

Upo day ngapi leo?
[SUB]dah kwa kuviangalia vinatishia.[/SUB]

[SUB]the magic nipo day three,nimesita kwanza kuingia day 4 nafanyia kazi haya ya day 1,2 and three.[/SUB]
 
Jinsi unavyosoma ndio unazidi kukipenda,kinaelezea mambo yanayoendelea sasa USA.

Niwe mkweli mwenyewe nilikisoma mara ya kwanza nikaacha,nikarudia tena nikaacha,mara ya tatu ndio nimekimaliza.

Ni kweli mkuu.

Huu ubaguzi wa rangi dhidi ya weusi U S A unaonekena pia kwenye To Kill a Mockingbird.
 
Mkuu, kuna kitabu kinaitwa The Fountainhead( Ayn Rand) ambapo mwandishi anadai kuwa ego ndio kisima cha maendeleo ya binadamu. Nahisi kama kutakuwa na mgongano wa mawazo kati ya Ayn Rand na mwandishi wa hicho Ego is The Enemy.

Ayn Rand-RIP(ameandika pia Atlas Shrugged) hakutokea kupendwa na wasomaji wengi kwa sababu ya falsafa yake ya objectivism, ambayo inasemekena kufuatwa na Trump na wafuasi wake.
Hicho sijakisoma mkuu,nitajitahidi nikisome,sometimes naona ni vizuri kusoma vitabu viwili vinavyokinzana ili kuweza kuchambua mambo kiundani badala ya tu kuegemea upande mmoja.

Kuna jamaa anaitwa Mark Manson ameandika kitabu titled "The subtle art of not giving a https://jamii.app/JFUserGuide" napenda sana uandishi wake yeye yuko tofauti kabisa na waandishi wengine wa hizi self help books.
 
Hicho sijakisoma mkuu,nitajitahidi nikisome,sometimes naona ni vizuri kusoma vitabu viwili vinavyokinzana ili kuweza kuchambua mambo kiundani badala ya tu kuegemea upande mmoja.

Kuna jamaa anaitwa Mark Manson ameandika kitabu titled "The subtle art of not giving a ****" napenda sana uandishi wake yeye yuko tofauti kabisa na waandishi wengine wa hizi self help books.

Kama una soft copy ya hi hiyo The Subtle Art of.......naomba uiweke hapa mkuu.
 
Yes nimeandika hivyo kwa maana hapa kwenye page ya kwanza nadhani ni cover pia wameanza kuandika the Secret the POWER. Au kwa kuwa wataalamu mnaviita the secret na mkavipa na series kabisa.
Yote kwa yote asante kwa ufafanuzi nikimaliza hiki nitahamia kwenye hicho cha The Magic naona Author ni yule yule
Nimejaribu kufanya kautafiti, inaonyesha hivi vitabu vilianza kuandikwa kwa mfululizo huu...

1. The Secret (Mwaka 2006)

2. The Power (Mwaka 2009)

3. The Magic (Mwaka 2012)

5. Hero (Mwaka 2013)

NB: Sijaanza kusoma ila i think "content" yake haifwati mfululizo huo, ni kama vina jitegemea.
 
Hiki ni kitabu cha 3 na cha mwisho kwenye series ya Self-help za Rhonda zinazoenda kwa jina la The Secret.

Kuna The secret 1, 2 &3.
Cha kwanza kinaitwa The secret.
Cha pili kinaitwa The Power na,
Cha tatu kinaitwa The Magic.
Hakitofautiani sana na ulichosoma maana ni mwendelezo wa The Secret na The Power ila kina mambo mazuri zaidi.
Hiki kitabu kina siku 28 ambazo ukizimaliza unakuwa umepiga hatua sana kwenye maisha yako.

Ni kitabu ambacho kinakufanya uwe positive thinker, to pay attention on your own needs. Ukikisoma ukiaply ujumbe uliopo basi utajikuta unakuwa na furaha na utajivunia kila ulicho nacho. Utaachana na mambo ya vinyongo au kubeba moyoni vitu visivyo muhimu. Hautapoteza muda wako on Negative things

Unaweza kila siku ukasoma siku moja, maana kipo kwenye mfumo wa Day 1, Day 2 , Day 3 nk. Sasa kila "day" ina funzo lake. Hivyo utapata muda mzuri wa kutafakari na ku-apply kwenye maisha yako halisi.
Vipo vinne
1.The secret
2.The magic
3.The power
4.The hero
 
Hicho sijakisoma mkuu,nitajitahidi nikisome,sometimes naona ni vizuri kusoma vitabu viwili vinavyokinzana ili kuweza kuchambua mambo kiundani badala ya tu kuegemea upande mmoja.

Kuna jamaa anaitwa Mark Manson ameandika kitabu titled "The subtle art of not giving a ****" napenda sana uandishi wake yeye yuko tofauti kabisa na waandishi wengine wa hizi self help books.
Kwa nini yuko tofauti mkuu ?
 
Asante sana kiongozi kwa ufafanuzi

Back
Top Bottom