Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

In the heart of the sea Mobby Dick kinatajwa...sijui kama spellings nimepatia...
Please if anyone has the book share here
 
Kitabu pekee kinachokujengea nidham ya pesa na namna ya kuilea katika mazingira yetu.

Vitabu vingi vinaongelea mambo ya stock, bonds, hisa n.k kama nyenzo za kukufanya ufanikiwe kwenye eneo la mambo ya fedha, hayo mambo hayatekelezeki kirahisi na wengi wetu.

The Richest Man in Babylon kinamfaa kila mtu, aliye kwenye dimbwi la madeni, tajiri, mwanafunzi, mzazi, kijana anaenza maisha.
Natamani watu wote wangekisoma wanapomaliza elimu ya sekondary au hata msingi kuwajengea nidham ya pesa.

Hua sichoki kukisoma na kukirudia, tena na tena.
Mkuu naomba PDF yake tafadhali.

Kuna mdogo wangu namuandaa aje kuwa mtu moja hatari sana
 
Madam ebu fanya mpango wa "the ricjest man in the babylon"

Naskia ni kizuri nacho..
 
Madam ebu fanya mpango wa "the ricjest man in the babylon"

Naskia ni kizuri nacho..
Ni kitabu kizuri sana.
Ukikisoma na kukielewa utakuwa umefaidika sana. Ni tofauti na hivi unavyovipenda. Na pia kina lugha ngumu kidogo.
 
Attachments

The country of the blind. Nimekapenda haka ka kitabu. ''kwenye nchi ya vipofu mtu mwenye jicho moja ni mfalme''.
page1-1200px-The_Country_of_the_Blind_by_H._G._Wells_(Amazing_Stories,_December_1927).pdf.jpg
 
Naona hiki kimeenda kwa mfumo wa days,na kile ambacho nilisoma mimi hakipo hvyo..
I am sorry.

The secret na The Secret Daily Techniques ni vitabu viwili tofauti lakini dhumuni ni moja.
Baada ya The Secret ndio ikaja daily techniques ambayo ni kumsaidia msomaji namna ya kuaply hizo principles alizo zisoma kwenye The Secret.
 
Hi Paula Paul !

Much thanks to this very informative thread! In months now a have been passing in this thread just reading silently without writing any comment and I must say it is a very educational one.

And for me today I am looking for a book, I will be grateful for anyone who will help me with the soft copy of it. I have seen it on scribd, but I don't have the access to download. Any one with the access to download from there or anywhere please assist.

Screenshot_20200826-194826.png
 
View attachment 1548972

Thank you for commenting on this post Developer. It means a lot that you’ve decided to join this.

I am really happy that you found this thread very useful/ educational. I will try my best to find the book you've mentioned.
 
Hi Paula Paul !

Much thanks to this very informative thread! In months now a have been passing in this thread just reading silently without writing any comment and I must say it is a very educational one.

And for me today I am looking for a book, I will be grateful for anyone who will help me with the soft copy of it. I have seen it on scribd, but I don't have the access to download. Any one with the access to download from there or anywhere please assist.

View attachment 1548972
I have it unfortunately but fortunately for me nakiuza
 
Back
Top Bottom