Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
- Thread starter
- #2,261
I like Erotic novels. Any recommendations?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I like Erotic novels. Any recommendations?
Mkuu naomba PDF yake tafadhali.Kitabu pekee kinachokujengea nidham ya pesa na namna ya kuilea katika mazingira yetu.
Vitabu vingi vinaongelea mambo ya stock, bonds, hisa n.k kama nyenzo za kukufanya ufanikiwe kwenye eneo la mambo ya fedha, hayo mambo hayatekelezeki kirahisi na wengi wetu.
The Richest Man in Babylon kinamfaa kila mtu, aliye kwenye dimbwi la madeni, tajiri, mwanafunzi, mzazi, kijana anaenza maisha.
Natamani watu wote wangekisoma wanapomaliza elimu ya sekondary au hata msingi kuwajengea nidham ya pesa.
Hua sichoki kukisoma na kukirudia, tena na tena.
Ndugu unaweza kututumia hapa hyo softikopi yake ?The Richest man in the babylon kizuri sana
Hapana siyo tofauti Safuher.
Ni kitabu kizuri sana.Madam ebu fanya mpango wa "the ricjest man in the babylon"
Naskia ni kizuri nacho..
Huu ndo mtihani kwangu.
Naona hiki kimeenda kwa mfumo wa days,na kile ambacho nilisoma mimi hakipo hvyo..Hapana siyo tofauti Safuher.
I am sorry.Naona hiki kimeenda kwa mfumo wa days,na kile ambacho nilisoma mimi hakipo hvyo..
Mkuu Kama unaMmewweka vitabu hapo juu ninavyo nauza tsh 5000 hadi 10,ila siyo cha vibongo Kama hiko ch a mtobwA
Ben mtobwa?vya bongo siuzi bossMkuu Kama una
Heart of Stone cha Mtobwa nitumie pm contact zako nikinunue
Hi Paula Paul !
Much thanks to this very informative thread! In months now a have been passing in this thread just reading silently without writing any comment and I must say it is a very educational one.
And for me today I am looking for a book, I will be grateful for anyone who will help me with the soft copy of it. I have seen it on scribd, but I don't have the access to download. Any one with the access to download from there or anywhere please assist.
View attachment 1548972
I have it unfortunately but fortunately for me nakiuzaHi Paula Paul !