Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Samahani kwa kukawia Paula na Pendael24.

Kwenye edition ya kwanza(1952), mwandishi alitoa utangulizi ambao nadhani twaweza sema ndiyo malengo yake kwa huu utunzi.

View attachment 1754047
Kama tunavyoona hapo, moja ya dhana alizotaka kuwasilisha mwandishi ni wema na uovu.

Dhana ya wema na uovu ni ya zamani zaidi kuliko dini tunazo practice wakati huu na hivyo kwa maoni yangu East of Eden hakina udini ndani yake licha ya kuwa na maudhui kadhaa ya kibiblia.

Angalia namna mwandishi anavyotumia irony kufikisha ujumbe:-

Lee na wasomi wa kichina wanaibua suluhisho linalokubalika toka biblia ya kiibrania.

Cathy/Kate hatimaye anampenda sana mmoja wa watoto wake aliowatelekeza wakiwa wachanga na kumwachia urithi wa mali ingawa hakubadilika kabisa katika aspects zake nyingine za uovu.

Charles pia anabadilika ukubwani na kuweza kuishi kwa amani na Adam baada ya kuwa na chuki kali sana dhidi ya huyu ndugu yake.

Angalia pia jinsi familia ya Samuel Hamilton ilivyojaa contradictions.

Kwangu mimi basi hiki kitabu kina maudhui mengi lakini sio hilo la udini au kama lipo sio la muhimu sana.

BTW Kuna mahali mwandishi analinganisha ujio wa waeneza dini na makahaba mjini na ni kama vile wote wana ushawishi sawa au pengine ushawishi wa makahaba una uzito kuliko ule wa wainjilisti!

Don’t know why I feel so much at loss after writing this.

Paula and others please let me have your views.
Thank you very much for this reply Nowonmai. Umeandika vizuri.

Mimi kikubwa nimeona ni the struggle between good and evil na tupo na maamuzi ya kuchagua ni yapi tufanye juu ya maisha yetu na yapi tusifanye huo uwezo tunao bila shaka ndio maana ya Timshel. So it's our choice whether to embrace goodness or evil.

Japo natamani angeendelea kuandika zaidi tuone maisha ya Cal na watoto wake kama history iliendelea kujirudia.
 
Sahihii kabisa
 
Samahani kwa kukawia Paula na Pendael24.

Kwenye edition ya kwanza(1952), mwandishi alitoa utangulizi ambao nadhani twaweza sema ndiyo malengo yake kwa huu utunzi.

View attachment 1754047
Kama tunavyoona hapo, moja ya dhana alizotaka kuwasilisha mwandishi ni wema na uovu.

Dhana ya wema na uovu ni ya zamani zaidi kuliko dini tunazo practice wakati huu na hivyo kwa maoni yangu East of Eden hakina udini ndani yake licha ya kuwa na maudhui kadhaa ya kibiblia.

Angalia namna mwandishi anavyotumia irony kufikisha ujumbe:-

Lee na wasomi wa kichina wanaibua suluhisho linalokubalika toka biblia ya kiibrania.

Cathy/Kate hatimaye anampenda sana mmoja wa watoto wake aliowatelekeza wakiwa wachanga na kumwachia urithi wa mali ingawa hakubadilika kabisa katika aspects zake nyingine za uovu.

Charles pia anabadilika ukubwani na kuweza kuishi kwa amani na Adam baada ya kuwa na chuki kali sana dhidi ya huyu ndugu yake.

Angalia pia jinsi familia ya Samuel Hamilton ilivyojaa contradictions.

Kwangu mimi basi hiki kitabu kina maudhui mengi lakini sio hilo la udini au kama lipo sio la muhimu sana.

BTW Kuna mahali mwandishi analinganisha ujio wa waeneza dini na makahaba mjini na ni kama vile wote wana ushawishi sawa au pengine ushawishi wa makahaba una uzito kuliko ule wa wainjilisti!

Don’t know why I feel so much at loss after writing this.

Paula and others please let me have your views.
Asante Sana ndugu kwa ufafanuzi huu Be very blessed.
Nimezidi kupata hamasa ya kukitafuta hiki kitabu maana ninadhani hakitaniacha Kama kitakavyo nikuta!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG_20210421_204912_764.jpg

Kitabu kuhusu unyama wa kutisha uliofanywa na dictator Jiwe Idi Amin. Story za Amin kula nyama za binadamu zipo ndani ya kitabu hiki.
 
Attachments

"We found water. We passed into a more fertile country where were grass and fruit. We found the trail to Babylon because the soul of a free man looks at life as a series of problems to be solved and solves them, while the soul of a slave whines, 'What can I do who am but a slave?'
Rich Man in Babylon
 
Hakina udini.

Na hata hizo zinazoitwa dini pia ni hadithi tu.

Kwa hivyo, mimi sioni msingi wa kukataa kitabu kwa sababu ni cha kidini.

Kwa sababu, hata vitabu kama kwa mfano, Biblia, ukiichambua kwa undani kwa kumsoma mtu kama Dr. James Kugel katika "How To Read The Bible", utaona vitabu vya dini pia ni hadithi za kutungwa na watu katika kupambana na maisha yao ya kila siku.
Mzee baba ukizuka stage nyingine mara paap..Sir God ana kuzoom....Haaaaaaahaaaa
 
I lost my mom 3yrs ago, it was pretty shattering and numbing. My friend recommended this book to me, "The Reptile Room" by Lemony Snicket. This is children's series of unfortunate event but I read them as an adult and helped me a ton.
At first I didn't want to accept that my mom is gone even after her funeral, but this quote helped me out to accept the reality,

"It is a curious thing, the death of a loved one. We all know that our time in this world is limited, and that eventually all of us will end up underneath some sheet, never to wake up. And yet it is always a surprise when it happens to someone we know."

This quote from the book also helped me when I thought I'd never be happy without her by my side and how to cope without her.

"I think we'll always miss our parents. But I think we can miss them without being miserable all the time. After all, they wouldn't want us to be miserable."

Since then, I hate to express my sadness, I would rather smile and show that everything is okay even if I feel depressed. I don't want my mom to worry about me because I know all she wants is for me to be happy.

This book has became the best book to me, followed by A grief observed by Lewis and Love, Aubrey by Suzzane Lafleur.
I miss you wherever you are.
 
The Bishop's Secret by Fergus Hume​

Book Cover

Source: The Bishop's Secret by Fergus Hume

N.B
Sababu ya kukipenda kitabu / hadithi hii ni uwezo wa muandishi kusimulia kuhusu wahusika kuanzia tabia, hulka zao, mavazi, wanavyojibeba ktk uhusika wao kiasi unajihisi upo katika eneo moja na wahusika ndani ya simulizi hii huku ukiwaona kwa macho yako kabisa.

Pia hadithi nzima yavutia na kukuongezea uwezo wa kuwakilisha simulizi bila kuchoka.
 
View attachment 1786752
Nipo nae Hapa Mnyama. Imagine a battle between Carl the jackal and Jason Bourne?

Msinisimulie nipo in the midway point to finish![emoji28]

Last week nilikuwa so bored, nikawa natafuta cha kusoma. Nilifanya debate sana kati ya kurudia Bourne Series na The Godfather, The Godfather won, ila nitarudia hii series in the near future.
 
Back
Top Bottom