Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Nataka nianze kusoma( actually mimi nasikiliza audiobook) kitabu cha Brief History of time cha stephen.
Kunaambae ameshakipitia angalau anipe clue hapa kidogo. Mana ninacho MWAKA wa 3 sasa na motive ya kukipitia sina kabisa.
 
Pia naomba kuitisha😂😂😂PDf or any electronic fomart ya kamusi ya sanifu ya kiswahili. Naitajika sana hii
 
Mkuu habari?

Naomba nisaidie kupata hiki kitabu.

Levitation and Invisibility.
By, Commander X & Tim R. Swartz.
 
Msaada wa SoftCopy
41um3WmhGCS._AC_SY780_.jpg
 
Nimeanda list ya vitabu 10 ambavyo nitakua navisoma vyote kwa pamoja.. Nabadili taste kutokana siku.

1.Eat that frog by Brian Trancy

2.Atomic habit by James Clear

3.Die empty by Todd Henry

4.The Alchemist by Paul Coelho

5.The Richest Man in Babylon by George Clason

6.Think and Grow Rich by Napoleon Hill

7.Homo Deus : a brief history of tomorrow by Yuval Noah Harari

8.The Daily Stoic by Stephen Hanselman

9.The Well Spoken Thesaurus by Tom Heehler

10.The setup by Dan Bilzerian
Naomba hicho cha "The setup" Softy copy
 
Habari, mwenye pdf ya kitabu hiki naomba anisaidie RS Aggarwal Quantitative Aptitude
 
Back
Top Bottom