Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

Thanks, nilishaaga acha kusoma vitabu vya mamotivational speaaker, nitajaribu hiki, nikikuta cha hovyo, adhabu yake nakutukana, DEAL!?🤣
Na ukikuta cha maana, utume na ya kutolea....
Ni kizuri asee hautajutia, mi nmechukua desa moja humo nmelifanyia kazi baada ya muda ntaanza kukuna ndevu tu.....elewa maana ya neno ndevu 😁
 
Harakati zangu za kusoma autobiography ya Malcom X zimefika mwisho. Niseme tu alijitafuta na mwishowe akajipata. Ujumbe wake wa mwisho kwa dunia ni ubinadamu kwanza.

View attachment 2726836
It takes a strong man to change his ways.
Malcom’s change of views after his trip to Mecca is quite touching.

Such a powerful read!
 
Alikulia kwenye Taasisi ya kibaguzi na kitapeli iliyoitwa—NATIONAL OF ISLAM. So, the guy was brainwashed throughout hadi alipoenda Hijja as you said.

Good read indeed!
 
Harakati zangu za kusoma autobiography ya Malcom X zimefika mwisho. Niseme tu alijitafuta na mwishowe akajipata. Ujumbe wake wa mwisho kwa dunia ni ubinadamu kwanza.

View attachment 2726836
Kwenye series ya The Godfather of Harlem, imeonekana kuwa Malcom X na jamaa, Johnson, walikuwa ni watu wenye kusaidiana sana, infact Johnson ndio ametoa mchango mkubwa kwenye maisha Johnson, na ukisoma hata wamarekani weusi wengi wanakubaliana na hili, kwanini kwenye Autobiography, amekuwa ignored kabisa?
 
Na ukikuta cha maana, utume na ya kutolea....
Ni kizuri asee hautajutia, mi nmechukua desa moja humo nmelifanyia kazi baada ya muda ntaanza kukuna ndevu tu.....elewa maana ya neno ndevu 😁
Screenshot_20231121-095449.jpg

Nimeshakutukana tayari! 🤣

Hizi ni story za 'NILIANZA NA NYOYA SASA HIVI NINAMILIKI KFC'.
 
Alikulia kwenye Taasisi ya kibaguzi na kitapeli iliyoitwa—NATIONAL OF ISLAM. So, the guy was brainwashed throughout hadi alipoenda Hijja as you said.

Good read indeed!
Yes! Wakati mwingine unaweza ukaishi kwenye uongo na ukauamini sana. Yeye alibahatika kupata bahati ya kuujua ukweli. It’s pretty sad that he was shot dead. Nilitamani angeendelea kuishi zaidi nione.
 
Sure. He lived in tough times. Marekani ya 1960s ilikuwa ya hovyo sana. Mimi huona sisi Tanzania tumestaarabika sana kijamii kuliko wamarekani kwenye mambo mengi sana. Haki za binadamu, uhuru na uvumilivu wa kijamii, usawa wa kifursa.
 
Asee kama haujapata madini kwenye hiki kitabu nakushauri ukasome kitabu cha SITASAHAU GAMBOSHI NA BIBI ANGU ANAKULA NYAMA ZA WATU 🤣🤣🤣
Nimeishia kwenye page ya kwanza tu.

Nakubaliana na wewe kabisa kuwa kitabu kina madini. Lakini they're not realistic. Utajiri hauji kwa kufanya saving. Ni hadaa tu. Ndio maana siku hizi vitabu vya hivyo nilishachoka kuvisoma. Ukweli wa Utajiri hausemwi vitabuni.
 
Asee kama haujapata madini kwenye hiki kitabu nakushauri ukasome kitabu cha SITASAHAU GAMBOSHI NA BIBI ANGU ANAKULA NYAMA ZA WATU 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 bibi yangu anakula nyama za watu. Nilisomaga zamani sana hii hadithi.. Na je kile cha 'KILE DEMU NA UTAMU WAKE' Unakifahamu? 🤪🤣
 
Back
Top Bottom