Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kipo page 171 post namba 3417 kichekiNakiomba kama unacho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipo page 171 post namba 3417 kichekiNakiomba kama unacho
Thanks, nilishaaga acha kusoma vitabu vya mamotivational speaaker, nitajaribu hiki, nikikuta cha hovyo, adhabu yake nakutukana, DEAL!?🤣Kipo page 171 post namba 3417 kicheki
Na ukikuta cha maana, utume na ya kutolea....Thanks, nilishaaga acha kusoma vitabu vya mamotivational speaaker, nitajaribu hiki, nikikuta cha hovyo, adhabu yake nakutukana, DEAL!?🤣
It takes a strong man to change his ways.Harakati zangu za kusoma autobiography ya Malcom X zimefika mwisho. Niseme tu alijitafuta na mwishowe akajipata. Ujumbe wake wa mwisho kwa dunia ni ubinadamu kwanza.
View attachment 2726836
Ni Riwaya gani, Nowonmai?View attachment 2757496
Riwaya tamu sana hii!
Falsafa, mikosi, sci-fi, kupigania uhuru na haki, yaani kwa kifupi utapenda.
Hizi ndio zile ambazo critics wanaita “unputdown able”.
Ulifanikiwa kukisoma Evelyn?Hello, nahitaji kitabu cha Men are from mars, women are from venus Paula Paul Nowonmai et al
Ni Riwaya gani, Nowonmai?
My browser won’t load images and it’s getting super annoying.
Nilikipata dear thanks....usijaliUlifanikiwa kukisoma Evelyn?
Bila shaka ulikipenda. Samahani sikuweza kukusaidia kwa wakati.
It takes a strong man to change his ways.
Malcom’s change of views after his trip to Mecca is quite touching.
Alikulia kwenye Taasisi ya kibaguzi na kitapeli iliyoitwa—NATIONAL OF ISLAM. So, the guy was brainwashed throughout hadi alipoenda Hijja as you said.It takes a strong man to change his ways.
Malcom’s change of views after his trip to Mecca is quite touching.
Such a powerful read!
Kwenye series ya The Godfather of Harlem, imeonekana kuwa Malcom X na jamaa, Johnson, walikuwa ni watu wenye kusaidiana sana, infact Johnson ndio ametoa mchango mkubwa kwenye maisha Johnson, na ukisoma hata wamarekani weusi wengi wanakubaliana na hili, kwanini kwenye Autobiography, amekuwa ignored kabisa?Harakati zangu za kusoma autobiography ya Malcom X zimefika mwisho. Niseme tu alijitafuta na mwishowe akajipata. Ujumbe wake wa mwisho kwa dunia ni ubinadamu kwanza.
View attachment 2726836
Na ukikuta cha maana, utume na ya kutolea....
Ni kizuri asee hautajutia, mi nmechukua desa moja humo nmelifanyia kazi baada ya muda ntaanza kukuna ndevu tu.....elewa maana ya neno ndevu 😁
Okay. Nimeangalia movies zake 3. Ningetamani pia nisome na vitabu.The Hunger Games and its sequel, Catching Fire and Mocking Jay.
Yes! Wakati mwingine unaweza ukaishi kwenye uongo na ukauamini sana. Yeye alibahatika kupata bahati ya kuujua ukweli. It’s pretty sad that he was shot dead. Nilitamani angeendelea kuishi zaidi nione.Alikulia kwenye Taasisi ya kibaguzi na kitapeli iliyoitwa—NATIONAL OF ISLAM. So, the guy was brainwashed throughout hadi alipoenda Hijja as you said.
Good read indeed!
Asee kama haujapata madini kwenye hiki kitabu nakushauri ukasome kitabu cha SITASAHAU GAMBOSHI NA BIBI ANGU ANAKULA NYAMA ZA WATU 🤣🤣🤣View attachment 2820443
Nimeshakutukana tayari! 🤣
Hizi ni story za 'NILIANZA NA NYOYA SASA HIVI NINAMILIKI KFC'.
Kipo page 171 hapa kicheki, uinjoi kitabu kitamuHello Wapendwa! Naombeni mwenye copy ya love your self,pay your self first by Dr.Habib pls pls
Sure. He lived in tough times. Marekani ya 1960s ilikuwa ya hovyo sana. Mimi huona sisi Tanzania tumestaarabika sana kijamii kuliko wamarekani kwenye mambo mengi sana. Haki za binadamu, uhuru na uvumilivu wa kijamii, usawa wa kifursa.Yes! Wakati mwingine unaweza ukaishi kwenye uongo na ukauamini sana. Yeye alibahatika kupata bahati ya kuujua ukweli. It’s pretty sad that he was shot dead. Nilitamani angeendelea kuishi zaidi nione.
Nimeishia kwenye page ya kwanza tu.Asee kama haujapata madini kwenye hiki kitabu nakushauri ukasome kitabu cha SITASAHAU GAMBOSHI NA BIBI ANGU ANAKULA NYAMA ZA WATU 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 bibi yangu anakula nyama za watu. Nilisomaga zamani sana hii hadithi.. Na je kile cha 'KILE DEMU NA UTAMU WAKE' Unakifahamu? 🤪🤣Asee kama haujapata madini kwenye hiki kitabu nakushauri ukasome kitabu cha SITASAHAU GAMBOSHI NA BIBI ANGU ANAKULA NYAMA ZA WATU 🤣🤣🤣