Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,884
- 5,235
Nilitaka nimshauri pia hiki kitabu.The Alchemist by Paul Coelho umewahi kukisoma? Ni kitabu kizuri sana, kirahisi pia kwa lugha na ukimaliza kukisoma hautojutia muda wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka nimshauri pia hiki kitabu.The Alchemist by Paul Coelho umewahi kukisoma? Ni kitabu kizuri sana, kirahisi pia kwa lugha na ukimaliza kukisoma hautojutia muda wako.
Good to see you again. Oh, it seems like forever, Vers.My favorite teacher. Marcus Aurelius 😍
View attachment 2820592View attachment 2820591
The Book of meditation by Marcus Aurelius
Salute mate.. Huko china miaka ya 544BC alizaliwa bwana mmoja anaitwa Sun Wu, huyu bwana alikua jenerali wa jeshi la uchina ya zamani. Anafahamika zaidi kama Sun Tzu, alikua ni mtaalamu wa mikakati ya kijeshi. huyu jama aliandika kitabu kimoja kinaitwa The Art of War, kitabu hichi ni maarufu...www.jamiiforums.com
Ahsante nilikidownload kwenye huu uzi, nikimaliza The secret nitasoma hicho, thank you.The Alchemist by Paul Coelho umewahi kukisoma? Ni kitabu kizuri sana, kirahisi pia kwa lugha na ukimaliza kukisoma hautojutia muda wako.
Ninaomba akisome na asipokipenda ni zamu ya Evelyn “kukutukana” wewe.Nilitaka nimshauri pia hiki kitabu.
Secret cha Rhonda?Ahsante nilikidownload kwenye huu uzi, nikimaliza The secret nitasoma hicho, thank you.
Hapana, 'matusi' hayo yatakuhusu wewe, maana wewe ndiye ulipendekeza, mimi nimefanya 'uchawa' tu😄Ninaomba akisome na asipokipenda ni zamu ya Evelyn “kukutukana” wewe.
The secret za Rhonda? Umefanya chaguzi sahihi sana. Unajua vitabu vizuri.Ahsante nilikidownload kwenye huu uzi, nikimaliza The secret nitasoma hicho, thank you.
Yap ndio hichoSecret cha Rhonda?
Ahsante wewe Paula vitabu vingi nmepata kwenye huu uzi.....💕The secret za Rhonda? Umefanya chaguzi sahihi sana. Unajua vitabu vizuri.
Ubahili🙄 yani ukisema ubahili mi nahisi ni ile ya kipare 🤣🤣🤣 kula ugali na mchudhi halafu hela umeweka kibindoni, mi nadhani ishu sio ubahili bali tu matumizi mazuri na nidhamu kwenye hela baaasNimekuelewa sana Evelyn. Na kwa kweli kwa angle hiyo nakuelewa, mimi pia ni bad spender, na ilinitesa kwa miaka mingi hadi nilipoweka mifumo ya kunidhibiti. Hata ukipata 10 Mil kwa siku, bila kuwa na Saving, kuna mahala utakwama.
SAVING ni muhimu sana na ndio msingi wa kufanikiwa na kuwa na uhuru wa kiuchumi.
Labda nikuulize, Hivi SAVING na UBAHILI vinaendana?
Dah. Hongera. Basi mimi nina 'ukilaza' kwenye baadhi ya mambo. Concepts za hiki kitabu zilinishinda kabisa kuzielewa.Yap ndio hicho
Dah. Hongera. Basi mimi nina 'ukilaza' kwenye baadhi ya mambo. Concepts za hiki kitabu zilinishinda kabisa kuzielewa.
Ubahili ni uwezo wa kujidhibiti katika matumizi. Mfano, unatembea badala ya kupanda boda au daladala. Unaokoa Buku.Ubahili🙄 yani ukisema ubahili mi nahisi ni ile ya kipare 🤣🤣🤣 kula ugali na mchudhi halafu hela umeweka kibindoni, mi nadhani ishu sio ubahili bali tu matumizi mazuri na nidhamu kwenye hela baaas
Unajifunza......Ubahili ni uwezo wa kujidhibiti katika matumizi. Mfano, unatembea badala ya kupanda boda au daladala. Unaokoa Buku.
Mfano, wewe unapata mshahara unatumia wote hadi unajiona wa ajabu, mwenzako, with the same amount mishahara inakutana.
Sasa, hali hii ni asili au mafunzo?
Ukishindwa kusave basi uwe na uwezo wa kuzalisha zaidiNimekuelewa sana Evelyn. Na kwa kweli kwa angle hiyo nakuelewa, mimi pia ni bad spender, na ilinitesa kwa miaka mingi hadi nilipoweka mifumo ya kunidhibiti. Hata ukipata 10 Mil kwa siku, bila kuwa na Saving, kuna mahala utakwama.
SAVING ni muhimu sana na ndio msingi wa kufanikiwa na kuwa na uhuru wa kiuchumi.
Labda nikuulize, Hivi SAVING na UBAHILI vinaendana?
You're doomed to failure as uzalishaji ni volatile. Saving kwa kweli haiepukiki. Nilichokataa ni kuwa SAVING GUARANTEES YOU UTAJIRI. UTAJIRI IS BEYOND SAVING AND IT'S NOT ALWAYS A PREREQUISITE FOR IT.Ukishindwa kusave basi uwe na uwezo wa kuzalisha zaidi
Kwanza tukubali kujitesa ni muhimu kama una lengo hasa la kufikia mafanikio ya kweli ya kiuchumi. Inabidi utumie fedha zako kwenye unayoyahitaji tu na sio unayoyataka.Unajifunza......
Ubahili una kujitesa ndani yake ndio hiyo unatembea badala ya kupanda daladala, kula ugali na mchudhi hii kwangu hapana, tumia tu hela vizuri huku uki ISHI usiache KUISHI
[emoji3][emoji3][emoji3]Nimekuelewa sana Evelyn. Na kwa kweli kwa angle hiyo nakuelewa, mimi pia ni bad spender, na ilinitesa kwa miaka mingi hadi nilipoweka mifumo ya kunidhibiti. Hata ukipata 10 Mil kwa siku, bila kuwa na Saving, kuna mahala utakwama.
SAVING ni muhimu sana na ndio msingi wa kufanikiwa na kuwa na uhuru wa kiuchumi.
Labda nikuulize, Hivi SAVING na UBAHILI vinaendana?
Savings haimaanishi ndio utajiri, sa utatajirikaje kwa pesa ambayo imekaa tu kama inasubiri kujifunguaYou're doomed to failure as uzalishaji ni volatile. Saving kwa kweli haiepukiki. Nilichokataa ni kuwa SAVING GUARANTEES YOU UTAJIRI. UTAJIRI IS BEYOND SAVING AND IT'S NOT ALWAYS A PREREQUISITE FOR IT.