Bookworms of JF, what's your favorite book (s) and why?

My favorite teacher. Marcus Aurelius 😍
View attachment 2820592View attachment 2820591
Good to see you again. Oh, it seems like forever, Vers.
 
Nimekuelewa sana Evelyn. Na kwa kweli kwa angle hiyo nakuelewa, mimi pia ni bad spender, na ilinitesa kwa miaka mingi hadi nilipoweka mifumo ya kunidhibiti. Hata ukipata 10 Mil kwa siku, bila kuwa na Saving, kuna mahala utakwama.

SAVING ni muhimu sana na ndio msingi wa kufanikiwa na kuwa na uhuru wa kiuchumi.

Labda nikuulize, Hivi SAVING na UBAHILI vinaendana?
Ubahili🙄 yani ukisema ubahili mi nahisi ni ile ya kipare 🤣🤣🤣 kula ugali na mchudhi halafu hela umeweka kibindoni, mi nadhani ishu sio ubahili bali tu matumizi mazuri na nidhamu kwenye hela baaas
 
Ubahili ni uwezo wa kujidhibiti katika matumizi. Mfano, unatembea badala ya kupanda boda au daladala. Unaokoa Buku.

Mfano, wewe unapata mshahara unatumia wote hadi unajiona wa ajabu, mwenzako, with the same amount mishahara inakutana.

Sasa, hali hii ni asili au mafunzo?
 
Unajifunza......
Ubahili una kujitesa ndani yake ndio hiyo unatembea badala ya kupanda daladala, kula ugali na mchudhi hii kwangu hapana, tumia tu hela vizuri huku uki ISHI usiache KUISHI
 
Nimekuelewa sana Evelyn. Na kwa kweli kwa angle hiyo nakuelewa, mimi pia ni bad spender, na ilinitesa kwa miaka mingi hadi nilipoweka mifumo ya kunidhibiti. Hata ukipata 10 Mil kwa siku, bila kuwa na Saving, kuna mahala utakwama.

SAVING ni muhimu sana na ndio msingi wa kufanikiwa na kuwa na uhuru wa kiuchumi.

Labda nikuulize, Hivi SAVING na UBAHILI vinaendana?
Ukishindwa kusave basi uwe na uwezo wa kuzalisha zaidi
 
Unajifunza......
Ubahili una kujitesa ndani yake ndio hiyo unatembea badala ya kupanda daladala, kula ugali na mchudhi hii kwangu hapana, tumia tu hela vizuri huku uki ISHI usiache KUISHI
Kwanza tukubali kujitesa ni muhimu kama una lengo hasa la kufikia mafanikio ya kweli ya kiuchumi. Inabidi utumie fedha zako kwenye unayoyahitaji tu na sio unayoyataka.

Turudi kwenye ubahili. Unajua kuna watu wamezaliwa kwa asili yao, ni 'wabahili', yaani sio watumiaji au wanunuaji hovyo hovyo. Wapo wengine ni Spenders tu. Tumenunua hiki, tumenunua kile, tumekaa kwenye kijiwe cha kahawa tunanunua sisi na kusambaza chupa. Umeweka Gb 1 imeisha umenunua nyingine, kwa siku hata GB 2 zinakata. Kimepita hiki umenunua, kimepita kile umenunua. Wanawake kwa asili si Spenders kama wanaume ingawa wapo pia wanawake ni Spenders kama wewe; yaani ukiwa na hela kwenye Mpesa, inakuwasha kuitumia, ukiwa na laki hutulii—ni ASILI.

Ndio hapo, tunahitaji kuwa na mifumo ya kutudhibiti. Kwanza ni sisi wenyewe pili kuwa watu wanaotusaidia.
👍
 
Nimekuelewa sana Evelyn. Na kwa kweli kwa angle hiyo nakuelewa, mimi pia ni bad spender, na ilinitesa kwa miaka mingi hadi nilipoweka mifumo ya kunidhibiti. Hata ukipata 10 Mil kwa siku, bila kuwa na Saving, kuna mahala utakwama.

SAVING ni muhimu sana na ndio msingi wa kufanikiwa na kuwa na uhuru wa kiuchumi.

Labda nikuulize, Hivi SAVING na UBAHILI vinaendana?
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
You're doomed to failure as uzalishaji ni volatile. Saving kwa kweli haiepukiki. Nilichokataa ni kuwa SAVING GUARANTEES YOU UTAJIRI. UTAJIRI IS BEYOND SAVING AND IT'S NOT ALWAYS A PREREQUISITE FOR IT.
Savings haimaanishi ndio utajiri, sa utatajirikaje kwa pesa ambayo imekaa tu kama inasubiri kujifungua
 
Back
Top Bottom