Michael Mlay
Member
- Aug 24, 2022
- 57
- 84
Jambo Zuri, ila be self discipline about that, kwa sabababu inaweza kutokea passi ndefu bumu likakata ukauza kila kitu. Au hata kuingia madeni.Habari zenu wanajamii forum
Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu x ,nimeona kutunza pesa sio kazi rahisi sana, hivyo nimeamua Kila boom ntakalopata nanunua mzigo mfano pochi,nguo alafu naweka ndani Ili mpaka namaliza chuo teyari ntakuwa na mzigo wa kutosha kuanzisha biashara yangu.Naombeni maoni YENU wadau Kwa hili wazo langu
Dogo wewe una PHD ya upuuzi.Habari zenu wanajamii forum
Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu x.
Nimeona kutunza pesa sio kazi rahisi sana, hivyo nimeamua Kila boom nitakalopata nanunua mzigo mfano pochi.
Nguo halafu naweka ndani Ili mpaka namaliza chuo teyari ntakuwa na mzigo wa kutosha kuanzisha biashara yangu.
Naombeni maoni YENU wadau Kwa hili wazo langu
Ni wazo lenye mashiko, ila changamoto ya vitu huwa vina fasheni yake, sasa we runda mzigo ndani bila kusoma alama za nyakati utakosa mwana na maji ya motoHabari zenu wanajamii forum
Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu x.
Nimeona kutunza pesa sio kazi rahisi sana, hivyo nimeamua Kila boom nitakalopata nanunua mzigo mfano pochi.
Nguo halafu naweka ndani Ili mpaka namaliza chuo teyari ntakuwa na mzigo wa kutosha kuanzisha biashara yangu.
Naombeni maoni YENU wadau Kwa hili wazo langu
Kwann usianze kuuza now hata kwa wanachuo wenzako au free time unatembeza?? Siku utamaliza chuo fashion ya hvo vitu vitakuwa vimepitwa na wakati na utauza kwa hasara pia vinaweza kuharibika kwa utunzaj mbovuHabari zenu wanajamii Forums
Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu x.
Nimeona kutunza pesa sio kazi rahisi sana, hivyo nimeamua Kila boom nitakalopata nanunua mzigo mfano pochi.
Nguo halafu naweka ndani Ili mpaka namaliza chuo teyari nitakuwa na mzigo wa kutosha kuanzisha biashara yangu.
Naombeni maoni YENU wadau Kwa hili wazo langu
Sio wazo zuri.Habari zenu wanajamii Forums