Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Kuna madogo wamejoin force zile million 3 za boom wamechanga miaka imeisha wamefungua Goli LAO hapo Vetenari hawataki kusikia habari za kuajiriwaKuliko kuweka ndani tu si bora uuze online
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna madogo wamejoin force zile million 3 za boom wamechanga miaka imeisha wamefungua Goli LAO hapo Vetenari hawataki kusikia habari za kuajiriwaKuliko kuweka ndani tu si bora uuze online
Sawa, nmekuelewa Mkuu. Kwa hali hiyo anza biashara sasa hivi, usisubiri hadi umalize chuo sababu hautaiweza. Wakati ni sasa, ukimaliza chuo ni unatanua tu biashara na sio kuianza.Sio kwamba nashindwa kula naweza ,ila nawaza vipi nikimaliza chuo itakuwaje ,ajira zenyewe changamoto,hme kwenyewe hwezi Rudi ndo hvo ,nawaza life after university
Tumia hiyo hela kwa matumizi yaliyo anishwa. Acha kujitesa kwa mambo ya kipuuzi. Kwanza utambue huna damu ya biashara.Habari zenu wanajamii Forums
Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu x.
Nimeona kutunza pesa sio kazi rahisi sana, hivyo nimeamua Kila boom nitakalopata nanunua mzigo mfano pochi.
Nguo halafu naweka ndani Ili mpaka namaliza chuo teyari nitakuwa na mzigo wa kutosha kuanzisha biashara yangu.
Naombeni maoni YENU wadau Kwa hili wazo langu
Anza kuuza straight up as kuna fashion zitakua zimepitwa na wakatiHabari zenu wanajamii Forums
Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu x.
Nimeona kutunza pesa sio kazi rahisi sana, hivyo nimeamua Kila boom nitakalopata nanunua mzigo mfano pochi.
Nguo halafu naweka ndani Ili mpaka namaliza chuo teyari nitakuwa na mzigo wa kutosha kuanzisha biashara yangu.
Naombeni maoni YENU wadau Kwa hili wazo langu
Pamoja kakaAnza Leo Anza sasa, kusanya data Kisha zichanganue anzia hapo hapo ulipo
na mtaji sio lazima Malaki hata maelfu Anza nayo. Usiogope
B4
Sawa nimeelewaAnza kuuza straight up as kuna fashion zitakua zimepitwa na wakati
Sasa fashion ya nguo Si itakuwa imepita?[emoji23][emoji23]Habari zenu wanajamii Forums
Mimi ni mwanachuo wa chuo kikuu x.
Nimeona kutunza pesa sio kazi rahisi sana, hivyo nimeamua Kila boom nitakalopata nanunua mzigo mfano pochi.
Nguo halafu naweka ndani Ili mpaka namaliza chuo teyari nitakuwa na mzigo wa kutosha kuanzisha biashara yangu.
Naombeni maoni YENU wadau Kwa hili wazo langu
Ttz wenye stoo na mashine. Mali ikikaa Sana stoo wanaisi sijui mwenye Mali mzigo amekufa ?. Huwa ni wepesi Sana KUUZA nafaka sio zao.Jambo nzuri sana
Ila Nguo huon zinawez kuptwa na fashion (hapo unaongelea miaka mitatu)
Nazn ununue mpunga tuu na kuhifadhi kwenye mashine huko vijjn
Nko mwka wa pili,ila Asante Kwa ushauriJambo nzuri sana
Ila Nguo huon zinawez kuptwa na fashion (hapo unaongelea miaka mitatu)
Nazn ununue mpunga tuu na kuhifadhi kwenye mashine huko vijjn