Boom langu nimeamua kununua mzigo na kuweka ndani nikimaliza chuo nifungue duka langu

Boom langu nimeamua kununua mzigo na kuweka ndani nikimaliza chuo nifungue duka langu

Kama passion yake ni biashara Anza kufanya Sasa in small settings.
 
Kuwa makini tu usije kuwa kama yule aliyeagiza miti ya xmass ikaingia january.
 
Dogo wewe una PHD ya upuuzi.

Kwanza unataka kufanya kitu ambacho hukijui, hapo tu ushafeli tyr na hata ukipewa mtaji wa 100m huwezi toboa na biashara.

Pili nasema hujui biashara sababu lengo la biashara ni kununulia chini uuze juu, sasa wewe unatunza stock? Ambazo mostly value inashuka?

Acha upuuzi kula raha, soma faulu mitihani uje uajiriwe, biashara sio za wapuuzi kama wewe. Wewe una damu ya kuajiriwa

Nyambaf……
Oya vipi kwani!?
 
Ila si inategemeana na aina ya bidhaa,mfano viatu kama air max,jordon,majinsi kwan huwa yanapitwa na wakati?
Nunua nguo za kike , na vitu vidogo vidogo vya urembo wauzie wanafunzi wenzio hapo chuoni au fungua page social media insta na fb huko kwenye groups za sells uwe una post uuze..

Kukaa na mzigo ndani ni risk kubwa na ni hasara sabbu pesa yako haina mzunguko.

Unaweza ibiwa vitu ndani, kuharibika, kupitwa na fashion etc.

Nunua uza uzjngushe pesa yako ..
 
Asante Kwa ushauri
 
Sasa si zitapitwa na mitindo?.

Ila boom ni pesa ya kula Mkuu, usijibane sana maana baada ya hapo unaweza usiwe na nafasi nzuri ya kula ujana kama hiyo ya chuo. Tumia muda vizuri Mkuu.

Usije ukawaza kuwa utakula bata kwa mshahara/faida ya biashara maana utayatimba.

Anyway maisha ni vile unaamua wewe kuishi.
 
Pochi na nguoa zikipata ukungu umeisha usidhani kuhifadhi bidhaa ni mchezo mchezo.
 
Sasa si zitapitwa na mitindo?.

Ila boom ni pesa ya kula Mkuu, usijibane sana maana baada ya hapo unaweza usiwe na nafasi nzuri ya kula ujana kama hiyo ya chuo. Tumia muda vizuri Mkuu.

Usije ukawaza kuwa utakula bata kwa mshahara/faida ya biashara maana utayatimba.

Anyway maisha ni vile unaamua wewe kuishi.
Sio kwamba nashindwa kula naweza ,ila nawaza vipi nikimaliza chuo itakuwaje ,ajira zenyewe changamoto,hme kwenyewe hwezi Rudi ndo hvo ,nawaza life after university
 
Back
Top Bottom