Boom langu nimeamua kununua mzigo na kuweka ndani nikimaliza chuo nifungue duka langu

Wazo zuri Ila unabidi kuliboresha mkuu , nunua mzigo mchache na uuze usiweke stock deu to fluctuation of Goods value
 
Nadhani wadu tumeangalia upande mmoja tu wa huyu dogo, lakini kama tutangalia upande positive wa huyu dogo basi tutagundua kuwa yupo vizuri. Nasema yupo vizuri sbb amekumbuka kuwa kesho ipo na lazima aiandae leo. Kwa kukosea njia hii aliyochagua, kutamfanya aboreshe wazo lake zaidi kupitia michango yetu hii tunayompa hapa. Kukosea ndo kujifunza, big up dogo.
 
havitakua outdated mkuu??mfano fashion kupitwa?
 
Ndo nachohitaji , ushauri juu ya hili wazo
 
And you believe mzigo hautakua out of fashion?
 
Achana na upuuzi, soma, ukimaliza njoo nikufundishe bodaboda nikuajiri. Hivyo basi, hilo boom kula na watoto wazuri. Hizo kyuma unazozineng'enekea, utakuja kuzikumbuka sana one day. Utatafuta hata iliyochoka sana na hutoipata
Duuuh Asante Kwa ushauri
 
Hhhh Asante Kwa ushauri bro
 
Hapo umebaba Risk kubwa sana, Mzigo utakua outdated mpaka umalize chuo hivyo utakosa soko na hata bei itakua ishafall sanaa hivyo utaambulia hasara au utagawa bure? Na vipi mzigo ukiharibika mfano na mvua, jua, panya au kuibiwa kabisa?

We kijana unahitaj shule ya ujasiriamali kabisa.
 
 
Nimekuelewa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…